Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Oct 21, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye

  Na Tumaini Makene


  Kauli ya tahadhari kuwataka Watanzania wawe makini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu, wasichague watoa rushwa na mafisadi, iliyotolewa na Waziri Mkuu mstaafu Bw Frederick sumaye inaelekea kumgharimu baada ya kuwepo taarifa kwamba imekera baadhi ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na sasa wanapanga kumchukulia hatua.

  Vyanzo vyetu vya uhakika ndani ya CCM vimeliambiua Majira kuwa baadhi ya vigogo hao wanalalamika na kutaka Sumaye aitwe na kuhojiwa na vikao vya juu vya chama hicho kwa madai kuwa matamshi yake yamekidhalilisha chama hicho.

  Hivi karibuni Sumaye, ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi mfululizo chini ya serikali ya Awamu ya Tatu iliyoongozwa na Rais Benjamin Mkapa, alinukuliwa na vyombo vya habari akitoa angalizo kuwataka wananchi kuwa makini wasichague viongozi wanaotoa rushwa ili washinde uchaguzi kwaniu hawataweza kujali matatizo yao wakishaingia madarakani.


  ……..Chanzo chetu kimedokeza kuwa kauli hiyo ya Sumaye imewakera baadhi vigogo wa CCM huku wengine wakidai kuwa kwa nafasi yake ndani ya chama, Sumaye hakupaswa kjukemea jambo hilo hadharani ambalo CCM imekuwa ikiandamwa nalo..….


  [FONT=&quot]Habari zaidi ktk Majira ya leo.
  [/FONT]
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CCM bado wako enzi ya Kolimba.

  Laugh them off FTS.

  Usiende wakikuita. Wachafu (mafisadi) kama nini.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Sasa huyu ndio anastahili kupewa PhD ya heshima, Dk. Sumaye si unaona, inakuja eee na inatamkika kuliko ile ya mwenzie hebu itamke uone inavyokuwa na ukakasi hebu tamka uone...Dk...jekeli
   
 4. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Nililiona hili kwa jicho langu la tatu!!!
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  akiitwa tu na ccm.....watz tuandamane na tumpoongeze na tumpe heshima ya udaktari..........
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Naungana na wewe sio PhD ya heshima tu na Nishani ya ujasiri uliotukuka
   
 7. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Mungu wangu! Hii ni dhahiri ni chama cha mafisadi!
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Jinsi walivyomchafua mwaka 2000 hawa wahuni wa mtandao; Sumaye wa zamani sio huyu wa leo siku hizi amekomaa!! Sidhani kama hata wakimwita atatishika na hawa wahuni!!
   
 9. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamekosa pa kushika wanayumba tu. Wakimgusa Sumaye wameliwa, CHADEMA wanapata chati zaidi. Aende kuwasikiliza na kuwachana live huku huku hakuna Kukolimba tena.
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Kweli CCM ni chama cha majambazi, yaani mtu kukemea rushwa nchini ni kosa!!!!!!!!!!
  Watanzania amkeni bwana tuwatoe wezi hawa......
  Pole Sumaye, walikuzushia mengi ukaa kimya kumbe yoote uongo, sasa wewe kusema kidogo tuu imekuwa ningwa! tena kusema ukweli!!
  Wakikuzingua nenda chadema au anzisha chama wenzio kina DK salim......
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Ccm chama cha familia ya kikwete waache kuwadanganya watz.............
   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  CCM wamechanganyikiwa! kwani ktk maneno yake aliitaja CCM? ye alisema waache kuchagua viongozi mafisadi sasa kama wao wanajijua kuwa ni mafisado then Taff!! wakumuita kumhoji hilo litakuwa ni kosa maana hakulenga CCM ktk maneno yake!
   
 13. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Asiende watamkolimba maana roho zao zinanuka mauti na hawamwogopi hata Mungu. Wakikuta mzee jibu kwa kuwapelekea kikadi chao cha kijani. Alternative ya ukweli ipo , nayo ni Chadema.
   
 14. P

  PAMBANA Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa huyu amedhihirisha kuwa hawezi kumchafua Dr.Slaa kwa vitendo siokwa maneno kama wenzake walivyo.Baada kuombwa na JK ili amsaidie kumkampenia katika mikoa ya kaskazini alisema hataweza kuchafua mgombea urais kupitia CHADEMA ambaye ni rais mtarajiwa.
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Walitaka asemeje???:dance:
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Labda angesema CHAGUENI MAFISADI! inakuja eeeh!
   
 17. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Hongera sana mh Sumaye kwa kua mzalendo sasa umeungana na viongozi wengine wazalendo kama Warioba na Dk Salim. Tupo pamoja na wewe japo mafisadi wa Jk watahakikisha hautofika mbali kwenye mchakato wa kura za maoni za uraisi 2015 wakikuita kukuhoji usiende watolee mbavuni. Kura yako ni kwa DR SLAA !
   
 18. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Duh! Kumbe ukikemea WALA RUSHWA NA UFISADI viongozi wa CCM wanachukia!

  Umesomeka!!!
   
 19. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hongera Mh. Sumaye wakikuita kataa waambie uko busy, wakikusumbua amia Chadema
   
 20. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hawapendi kuambiwa ukweli
   
Loading...