NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,744
- 1,944
Chumvi ya kiasi gani?? Maana dogo alijaribu kufanya hiyo kitu lakini bado upo. Je uipake wakati bado mbichi wakati umetoka tu kuupaua magamba au .....Unauchonga maganda kuanzia chini kiunoni kwenda juu kama mita moja au moja na nusu kisha unaupaka chumvi, hakikisha chumvi ni ya kutosha, basi utakauka wenyewe taratibu
OmG !! Ndg unaua Mti..,!! Kwanza NI dhambi Bora uhame wewe kuliko kuutesa hivo..Za Usiku wana jamvi. Nani anaweza kunisaidia namna ya kuukausha mti bila ya kuukata. Maana ulipo style ya kuukata ni ngumu sana bila ya kuharibu Nyumba au kudondokea nyaya za umeme.
Je kuna njia yoyote mbadala..ukapukutika wenyewe??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mti unaharibu nyumba utavunja Nyumba?? Mna milango majumbani mwenu mna madirisha mna makochi hiyo yote ni Miti. Vipi mbona hamvitupi??
Naingiaje ndani ya nyama ya mti?? Nami niwe kigagula?Angalia ukubwa wa mti na umri, kuna mingine ina roho za watu au hutumika kama kituo cha vikao usiku. Kama unakata basi toa maganda na uingie ndani ya nyama ya mti.
Barafu la moto
Mama confessor embu nidadavulie kidogo hii ya misumariNyunyizia chumvi au gongomelea misumari,.
Unapotoka tu kutoa maganda, pia unaweza kuongeza kwa kugengelea misumariChumvi ya kiasi gani?? Maana dogo alijaribu kufanya hiyo kitu lakini bado upo. Je uipake wakati bado mbichi wakati umetoka tu kuupaua magamba au .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo dawa kabisa ulizia maduka ya pembejeo za kilimo
unauchimba kidogo ktk shina unaipaka wiki haifiki mkavuuuu hata uwe mkubww vip au mti gan
Nadhani amechanganya hiyo ya kupigilia msumari huwa inatumika kwenye mparachichi ambao hauzai ila sio kuua mti!
Unayafanyaje hayo mafuta ya taa Mkuu?Mafuta ya taa yanaua haraka mno
Hata mie kuna Mti hapa majani yake yanapukutika sana kipindi cha jua kali nao nishawahi fanya hiyo kitu cha zaidi uliendelea kukua kama kawaida.Chumvi ya kiasi gani?? Maana dogo alijaribu kufanya hiyo kitu lakini bado upo. Je uipake wakati bado mbichi wakati umetoka tu kuupaua magamba au .....
Sent using Jamii Forums mobile app