KERO Kukatika umeme jijini Mbeya kumezidi

KERO Kukatika umeme jijini Mbeya kumezidi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
49
Reaction score
96
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya.

Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO.

Kuna nini?
 
Back
Top Bottom