Asante Mkuu The Boss kwa ushauri. Ngoja nianze kuwaona wa kawaida na kuwachukulia powa labda ninaweza kurudisha heshima.siku zote binaadamu hawapendi vitu ambavyo ni too common kwao
hao wanawake wazuri wanakuona 'too common'
body language yako inaonesha tu 'unababaika' mno ukiwaona hao warembo
anza kujifunza kuwachukulia kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23]. Watoto wazuri wanapenda (vitu vizuri) mboi ambae yupo ligi soo.Hapo ndo penye ugumu. Lakini ligi yangu si ya kitoto ujue.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Wanawake wazur ndio wakoje hao.....??
ok Waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Mkuu. Ngoja nianze upya kwa kuangalia kila sekta then nione itakavyokuwa.[emoji23][emoji23][emoji23]. Watoto wazuri wanapenda (vitu vizuri) mboi ambae yupo ligi soo.
1. Muonekano upo bro?
2. pesa ipo?
3. Uvaaji vipi?
4. Ongea yako vipi?..sio unakua mlugaluga...ropokaropoka..poyoyo..mpayukaji...
5. Kwenye crue yako unatitle gani? Au wewe ndo ******
Watoto wazuri wanapenda vitu vizuri brother.
Wewe kama upo bar rudi nyumbani zimeshakukolea...hujui watoto anaozunguzia emmyguy.?Wanawake wazur ndio wakoje hao.....??
ok Waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Nipe Mfano wa mwanamke nzur..!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Huwajui wanawake wazuri?
Endelea kutumia gambee alafu utawaelewa tu.
ligi yako ni ya mchangani bado ujapanda jaraja ukipanda tu utawapata tu..kwa sasa cheza hukohuko mchangani..hahahaHeshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.
Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Mkuu. Ngoja nianze upya kwa kuangalia kila sekta then nione itakavyokuwa.