yan apa inaonekana upo kwny kil chuo ulichochaguliw hvy itakua ngumu kwak wew kuchaghuliw tena kama unavoona apo itbd uwasiliane na tcu utolew katik mfum ili uwez kuomb tena chuo,apo ni sawa na mt aliyedisc chuo mpak atolew tcu yan aend na barua inayoonexh amedisc atolew katk mfm nd aombe tena chuo
Nenda kwenye chuo ulichochaguliwa hapo zaman
Kuna barua utapewa kwa ajiri ya kufanya confirmation
Naskia ukiwasiliana nao hata online watakupatia iyo barua kwa email
Hicho tu ni kitendo cha kujaza nafasi chache na kutoa maelezo tu ya kuacha kusoma
Then muhuli wa chuo husika ulichochaguliwa lazima uwepo(softcopy)
Ukimaliza unaweza mpa mtu au rafiki ako ambae anaishi dar
Akakupelekea izo form!
Nakumbuka mwaka jana kuna jamaa angu nilimfanyia hii kitu na alifanikiwa
Siku moja tuAsante mkuu ngoja nijaribu hii, vipi inachukua muda gani labda mpaka system yao iwe vizuri baada ya ku peleka hizo barua.
Habari wana jukwaa, naomba msaada kama kuna yeyote anayefahamu kuhusiana na tatizo hili..
Mwaka jana sikufanikiwa kupata mkopo ila nilipata nafasi ya kuchaguliwa chuo kimoja.
Sasa baada ya kuchaguliwa sikuweza kuripoti chuoni kutokana na matatizo ya hapa na pale nikaona nisubiri mwaka huu nijaribu tena bahati yangu..
Baada ya ku apply nimekaa siku kadhaa leo ndo nimeingia tena nakutana na message hii:-
PRIOR ADMISSION FOUND! WE HAVE NOTICED THAT YOU WERE ALREADY ADMITTED DURING PREVIOUS ADMISSION CIRCLES, ACCORDING TO TCU GUIDELINES YOU ARE NOT ALLOWED TO BE SELECTED IN ANY OTHER INSTITUTIONS BEFORE YOU DE-REGISTER FROM PREVIOUS ADMISSION
Naombeni msaada nianzie wapi. View attachment 1160028
Umejua kumshauri vyema mkuu kikubwa afanye kama ulivyomwelekezaNenda kwenye chuo ulichochaguliwa hapo zaman
Kuna barua utapewa kwa ajiri ya kufanya confirmation
Naskia ukiwasiliana nao hata online watakupatia iyo barua kwa email
Hicho tu ni kitendo cha kujaza nafasi chache na kutoa maelezo tu ya kuacha kusoma
Then muhuli wa chuo husika ulichochaguliwa lazima uwepo(softcopy)
Ukimaliza unaweza mpa mtu au rafiki ako ambae anaishi dar
Akakupelekea izo form!
Nakumbuka mwaka jana kuna jamaa angu nilimfanyia hii kitu na alifanikiwa
Shukrani mkuu, tayari nimepeleka barua nikapatiwa fom nikajaza, baada ya hapo wakanambia tu TAYARI. sasa sijajua kama natakiwa kufuata taratibu zipi..Pole sana
Kwanza
Ulipaswa ufike kwenye chuo ulichokuwa umeitwa wakupe barua itakayoonesha kwamba hukureport chuoni mwaka uliopita na watatoa sababu na wanaiandikia TCU
MBILI
Unaichukua barua hiyo mpaka makao makuu ya TCU MAGOGONI pale utajazq form utakayopewa
Baada ya hapo utakaaa wiki moja ndio utaanza taratibu za kujisajili upya.
Basi vuta subira mkuu majina yakitoka ya kukofirm utakuwemo kwahiyo jiandae tu kukofirm chuo unachotaka ukasomeShukrani mkuu, tayari nimepeleka barua nikapatiwa fom nikajaza, baada ya hapo wakanambia tu TAYARI. sasa sijajua kama natakiwa kufuata taratibu zipi..
asante mkuu, tayari nineshafanya hivyo ndo nasubiria sijui kitu gani kitafuata maana tcu baada ya kuwasilisha barua walinambia tu tayari usijari, safari njema😊nenda chuo ulicho chaguliwa,,wambie unataka kuterminate ili uomba upya kuna barua watakupa unaenda nayo tcu wanakuindoa kwenye system na hapo ndo utaruhusiwa kuomba upya
Vipi haipo haja ya kurudia kuapply yani kusubmit kwa mara nyingine katika vile vyuo nilivyokuwa nimeomba. Au automatically tu watafix tatizoBasi vuta subira mkuu majina yakitoka ya kukofirm utakuwemo kwahiyo jiandae tu kukofirm chuo unachotaka ukasome
Hakuna haja mkuu wakishakutoa kwenye system automatically kule kwenye vyuo ulivyoomba jina linaonekana kama kawaida kama ni kukofirm unakofirm tu bila tatizo.Vipi haipo haja ya kurudia kuapply yani kusubmit kwa mara nyingine katika vile vyuo nilivyokuwa nimeomba. Au automatically tu watafix tatizo
Shukrani mkuu, tayari nimepeleka barua nikapatiwa fom nikajaza, baada ya hapo wakanambia tu TAYARI. sasa sijajua kama natakiwa kufuata taratibu zipi..
Apply tena upya au nenda moja kwa moja kwenye hicho chuo ulichoomba wakusaidieNirudie mara ya pili! Maana tayari nilivyo apply ndo nikapata ile notice.. Kwahiyo nimeshamaliza taratibu za tcu .. Sasa una maanisha ni apply tena au