Looool mwanamke anatakiwa akupende yeye usimtengenezee mazingira ya yeye kukupenda tena ikibid J-mosi mtokee ukiwa raf raf - Usijilize lize kwake kutafta sabab kama hakupend hakupendi tu USIJARIB KUMTAKA AKUHURUMIE utateseka mpaka ushangae - Wanawake wana mengi mwache aendelee na safari labda wewe automaticaly sio mwanaume alieko akilin mwake / ndoto zake hawa viumbe noma mno - Hakikisha humtegi itakucost