Kukataliwa kunauma

Kukataliwa kunauma

Mbona kama ulipendeza tu.......labda hizo raba zilikuwaje.....?.....isije kuwa zile ulimi nje.......au mkate boflo........unajua swala la viatu wadada tunaangalia sana.........
Lakini kwa maelezo yako.......nadhani ulipendeza........dada tu anataka kukuletea tashtiti......we kutana nae hiyo jumamosi.......halafu uje utuambie kasemaje.........
Usisahau kunitag........sawa eeeh.......

Hakuna kitu hapo dada wa watu atakuwa alikuja na nyegemshindo akijua huyu jamaa atamaliza kiu yake kumbe BoYa analeta mambo za mwezi mtukufu kwa hasira na maumivu ya nyegemshindo akaamua kafie mbali zumbukuku weeh nyege zinauma sana wadada
 
Kwani kutoa hela kwenye wallet ina uhusiano gani? Mimi sitembei na wallet koz inaniumiza nikikaa. Pesa zinatunisha so inakua kama mzigo. Nalipa bill ata kama ni laki ngapi na hela haitoki kwenye wallet. Kwanza naeza nkatoa kwenye socks kabisa kwani nin bana

Khaaaaaaaa..... Socks Brother???
 
Acheni kupiga picha na mapozi mengi while reality is different....lakini pole ndo ukubwa. You can't force everyone to like you

Picha tulizokuwa tunatumiana zilikuwa za kawaida tu!!Kuonyesha kuwa ni yule yule kwe picha niliamua siku ya kukutana nivae moja ya t-shirt nilizokuwa namtumia picha lakin chin nilipiga mapigo mengine!!
 
Preta smed unapenda vya kung'ara vya masizi huvitaki...! Shauri yako utakuja pwelepwetwa wewe...! Vivulana ndiyo vina hizo mambo. Ngoja siku nakuja r chuga na pamba za kukodi, uzuri kuna chalii yangu hapo chuga ana duka la pamba.
 
Unaona ujinga wako. Ramadhani kitu gani ndiyo maana umekataliwa si ajabu dada wa watu alikuja na nyegemshindo akarudi nazo nyumbani kwa hasira akaamua KULA KIBUTI ZUZU WEE...
Alikataa yeye mwenyewe tangu tunawasiliana kwe simu kuwa tusikumbatiane wala tusifanye chochote kwani tungeharibu swaumu zetu!Haikuwa mida mizuri pia lengo la kukutana cku ile ni kujuana na kuonana kwanza!!Tulitaka tusionane kabisa mpaka ramadhan iishe ila basi kwa shauku ya kila moja wetu kumuona mwenzake ikabidi iwe hivyo!!
 
Kumwona mtu na mapicha ya whatsapp is total different! Hajakupenda
 
Alikataa yeye mwenyewe tangu tunawasiliana kwe simu kuwa tusikumbatiane wala tusifanye chochote kwani tungeharibu swaumu zetu!Haikuwa mida mizuri pia lengo la kukutana cku ile ni kujuana na kuonana kwanza!!Tulitaka tusionane kabisa mpaka ramadhan iishe ila basi kwa shauku ya kila moja wetu kumuona mwenzake ikabidi iwe hivyo!!

Pumbavu..! Kweli wewe shauku ipi bila ile mambo yetu.. Wanasemaga tuuh ungempa msaliboko hakika angekufagilia...
 
pole sana kijana lkn ndo madhara ya madem wa mitandao kwani mtaani kwenu madem hawapoooooo?.
 
mbaruck

mbaruck Uhusiano wa miezi 4 tu na kuonana mara 1 unakupa presha???? Amesema moyo wake umekataa asikupende, kubalina naye, na wala usimlazimishe.

Wewe kuwa mpole, umia kimoyomoyo, kaa kimya na usimtafute tena!

Anaweza kuwa anakujaribu kukuona utafanyaje.
 
Last edited by a moderator:
Alikataa yeye mwenyewe tangu tunawasiliana kwe simu kuwa tusikumbatiane wala tusifanye chochote kwani tungeharibu swaumu zetu!Haikuwa mida mizuri pia lengo la kukutana cku ile ni kujuana na kuonana kwanza!!Tulitaka tusionane kabisa mpaka ramadhan iishe ila basi kwa shauku ya kila moja wetu kumuona mwenzake ikabidi iwe hivyo!!

Duuh Ramadhan yote hii bado unaenda date....astaghifirullah! Kwa upande mwengine huoni kama ni heri kwako amekwambia mapema. Imagine kama angekuwa kama watoto wengine wa mjini anajua kabisa kuwa hajakuingia kivile angekuwa anarusha mizinga kila siku na ilove you za uongo na kweli.

Huyu dada mshukuru ni mmoja katika wachache wanaoweza kuwa wa kweli....sasa kazana kiume acha kulialia
 
Pumbavu..! Kweli wewe shauku ipi bila ile mambo yetu.. Wanasemaga tuuh ungempa msaliboko hakika angekufagilia...
Najua unaniona mjinga ila mkuu Iman yetu hairuhusu hivyo(mie nae wote waislam) kwan hata kuwasiliana tullipokuwa mbali baada ya kuanza ramadhan ilibidi tukubaliane tupunguze mawasiliano na wote tukaridhiana juu ya hilo!!
 
@mbaruck

Uhusiano wa miezi 4 tu na kuonana mara 1 unakupa presha???? Amesema moyo wake umekataa asikupende, kubalina naye, na wala usimlazimishe.

Wewe kuwa mpole, umia kimoyomoyo, kaa kimya na usimtafute tena!

Anaweza kuwa anakujaribu kukuona utafanyaje.
Mkuu kukaa kimya kwangu kama ananijaribu si ndo ataona nlikuwa sina mpango nae kiivyo??
 
Duuuhh Preta,, ni wakina dada wote au??? Mnaangalia hivi vigezo??
 
Last edited by a moderator:
Mtumie sms na wewe mweleze kuwa ingawa yeye moyo wake umekataa kukupenda ILA WEWE BADO UNAMPENDA!!! Baada ya hapo, usiendelee na mawasiliano naye tena...

Kama alikuwa anakujaribu, baada ya muda atakutafutakidizaini.... Atatuma sms "mambo", "vipi", "mbona kimya", "umenisusa" n.k.

Ukiona kiya kabisa, endelea na maisha yako, tafuta mwingine... Yawezekana Mungu anakuepusha na balaaaa...
 
hili nalo neno!
 
mbaruck

NI RUHUSA KWAKO KUBADILI MAWAZO.

Kwa mfano umeshakubaliana na mtu mtafanya kitu fulani halafu dakika za mwisho anakuambia nimebadili mawazo, sitafanya tena kama nilivyokuambia. Unajisikiaje? Unachukuliaje hali kama hiyo?
Labda ni biashara na umeshakubaliana na mteja ila baadae anakuambia nimebadili mawazo. Au ni kwenye ajira na umeshakubaliana kitu fulani na mwajiri wako, umeshajiandaa kabisa na anakuambia nimebadili mawazo, hutafanya tena hivyo. Au ni kwenye maisha yako ya kawaida, ulipanga muoane na mtu na dakika za mwisho anakuambia nimebadili mawazo? Au umeshaona na mtu na kati kati ya safari anakuambia nimebadili mawazo?
Najua kama wewe ndio umeambiwa hivi unaweza kujisikia vibaya sana. Unaweza kuona aliyebadili mawazo hafai na ameharibu maisha yako. Lakini ukweli ni kwamba yeye ametumia haki yake ya msingi, kuruhusu mawazo yake yamchagulie kile ambacho anaona ni bora kwake. Hakuna jinsi unaweza kuzuia hilo.

Badala ya wewe kulalamika kwamba kwa nini hakukwambia mapema au kwa nini alikubali mwanzoni, furahi kwamba umejua mapema kabla hata hujapoteza muda mwingi. Shukuru kwamba umejua ni mtu wa aina gani na jifunze wakati mwingine kuangalia vitu muhimu kabla hujaingia kwenye makubaliano na mtu ambayo ni muhimu.
Jipe ruhusa ya kubadili mawazo, wape wengine ruhusa ya kubadili mawazo na usitake kuishi maisha ya kufungwa au kuwafunga wengine kwa sababu tu wanaogopa kubadili mawazo. Maisha yanapaswa kufurahiwa na sio kuishi kwa ajili ya kuwaridhisha wengine.

TAMKO LA LEO;
Najua nina ruhusa ya kubadili mawazo hata kama nilishakubaliana na mtu. Najua pia kwamba watu wana ruhusa ya kubadili mawazo yao hata kama walishaniahidi kitu. Naheshimu uhuru wangu na wa kila mtu na ni kwa uhuru huu ndio naweza kuishi maisha ninayoyafurahia na yenye faida kwa wengine pia.
chalii wa ara Muwe na siku Njema
 
Last edited by a moderator:
Si kwamba labda ananijaribu pengine!! Tumepanga kukutana nae jumamosi ngoja nikamsikilize!! ka vp napiga chini siwezi kulazimisha kupenda pasipopendeka

Mkuu, kilichobakia ni kulazimisha kula hata pasipolika. Mimi mwanamke Huyo unaweza kumla tena kiulaini sana, ila itakubidi uwe very technical na mjanja
 
Back
Top Bottom