NTABO wa NTABO
Senior Member
- Jun 25, 2017
- 191
- 221
Haijarishi Unapitia Magumu Kiasi Gani! Usikate Tamaa, Amini Yana Mwisho, Yamkini Upo Katika Mazingira Ambayo Unaona ni magumu kutoka, amini ipo njia, uwepo wako jamiiforum si bure, hakuna mtandao wa kijamii tanzania ambao umeunganisha watu wa kada tofauti tofauti kama jamiiforum, kuanzia afya,siasa,burudani ,na zaidi,, watu wameshinda kesi, wamepona magonjwa,wameboresha ndoa zao, wameanzisha au kuboresha biashara zao na mengine mengi kupitia jamiiforum, watu tunaongea na mawaziri, wakuu wa mikoa,wilaya na taasisi mbalimbali, hata rais we enjoy entercourse with him,through jf, kitu ambacho bila jf ilikuwa ngumu,, kwa hiyo kama una shida au tatizo usione aibu liweke jf, utasaidiwa, kufa kufaana, kama uko zanzibar au dar, ninao ukwaju zaidi ya tani kumi natafuta soko, kwa yeyote anayemufahamu mnunuzi wa jumla atakula gawilo la sh 100 kwa kila kilo itakayonunuliwa, bei,1000@kilo kama unaccess na mwandege kwa azam, unaweza niunganisha, mie niko simiyu maswa, 0652886184,tuwasiliane kwa taarifa zaidi!