Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Hope nyote wazima.
Leo napenda tujadili hili swala la bargaining wakati mnatakana kuanzisha mahusiano ya uchumba yatakayopelekea kuoana na kuishi pamoja.
Kwa mfano, Mwanamke anaweza kuwa alipanga toka awali kuwa angependa mwanaume atakayemuoa awe wa kabila lingine tofauti na lake, baadae akachumbiwa na mtu wa kabila lake, hivi hapa mwanamke anaweza kufunika kombe mwanaharamu apite?
Au Mwanamke alishapanga toka awali kuwa angependa mume wake awe mrefu, sasa anashangaa kila mwanaume anayemchumbia na ambaye yupo serious ni wale ambao hakuwatarajia yaan short men, na hapo hapo tall men wana hit and run, na age ndo hiyo inamkimbia, hivi hapa hawezi kubadili mawazo?
Au Mwanaume anapanga kuwa anataka kuoa mwalimu wa primary ambao wote ni form 4, baadae anapata Mhasibu mwenye degree, hivi hapa anafanyaje? utakaa kusubiri mwalimu wa primary au?
Tupeane uzoefu.