Kukata spring kwenye curburetter.

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
404
230
Habari.Naomba kujua umuhimu au hasara ya kukata spring kwenye curburetter ya Pikipiki ili throttle iwe laini.Maana nimenunua kapikipiki kamekatwa.Naomba Wenye ujuzi wa ufundi wa pikipiki mnijuze hayo mambo ili nifanye maamuzi sahihi ya kuikata au kuiacha.
 
Hakuna madhara maana spring hizo huwa zinatanuka na zikitanuka inakuwa ngumu maana inakuwa imerefuka so hakuna tatizo hapo nanikikatwa huwa inakuwa lain sana
 
Back
Top Bottom