Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

mactyga

Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
47
Reaction score
9
habari zenu sorry nlikuwa nauliza ivi kukata rufaa account zetu za SIPA tunaweza edit kama kuongeza cheti cha kifo na vitu vingine ama utaratibu unakuwaje kwa maana nataka nitafute cheti cha kifo sikukipata kwa muda sahihi
 
Anyway unaweza attach documents zako kweny appeal window kam hiyo ya death certificates ,Tasaf nk
 
Hyo inawezekana sana.. Nina experience ya hyo kitu mwaka Jana kuna dogo m1 alisahau kuweka form ya sponsor kwa masomo yake ya diploma na hakupata mkopo hata sh 1 kwa batch zote.
Lilipofunguliwa dirisha LA Appeal kaappel na kujaza na ile form aliyokasahau, siku yanatangazwa majina ya waliofanikiwa appeal kapata mkopo 100% yaan ninavyosema 100% bac ujue ni mia kweli kapewa kila aina ya takataka, field, tuition fees yote, boom, special faculty, research, bs tena kwa miaka yote mitatu.

Ila dogo nikushauri kitu, obvious mwaka huu watu watakaokata rufaa watakuwa wengi sana kutokana kila MTU hajaridhika na kiasi cha pesa, hvyo basi hakikisha unadocuments muhimu sana ili uweze kucompete vizuri na wenzako wengi watakaokata rufaa pia. Hcho cheti cha kifo weka alafu ujaribu kujaza ile form ya sponsor pelrka hata shule then mpange headmaster akujazie fresh alafu itupie mtandaoni so unajua maisha no kupambania, hapo lazima wakuongezee pesa dogo au hata 100% utapata
 
nashukuru sana umenieleza vizuri daaah cheti cha kifo kuna bro wangu alipoteza nkakikosa na muda wa kuapply ukawa unakalibia kuisha ikabidi tu niapply ivyo ivyo ila now nataka nikipambanie j3 nkipate mapema ili nije nikiattach nashukuru sana ubarikiwe
 
Jamani wapendwa mimi naomba mnisaidie nataka kuappeal ifikapo iyo tareh 6 lakini sijafanya registration chuoni kutokana na kukosa ada nakwenye appeal form kuna kile kipendele cha registration no sasa apo ntajaza nn na sina reg ño msaada please coz mpk sasa sielewi ntajaza nn apo
 
Iv uko appeal huez kuja punguziwa mkopo kwel?
 
Jamani wapendwa mimi naomba mnisaidie nataka kuappeal ifikapo iyo tareh 6 lakini sijafanya registration chuoni kutokana na kukosa ada nakwenye appeal form kuna kile kipendele cha registration no sasa apo ntajaza nn na sina reg ño msaada please coz mpk sasa sielewi ntajaza nn apo
Wew ni chuo ganii, Wanafunzi wa UDSM kupitia admission letter wamepewa kabisa reg no, maybe kama sio UDSM
 
Back
Top Bottom