Kwani nani kakuambia kuwa ww ni Mtanzania?Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu ili nisipate tabu wakati wa kulifanya hili jambo. #Ahsanteni
Tulia uisome namba kijana unataka ukimbilie wapi?Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu ili nisipate tabu wakati wa kulifanya hili jambo. #Ahsanteni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulia uisome namba kijana unataka ukimbilie wapi?
Nenda NIDA au kwa Mwanasheria (wale wa viapo) hata mahakamani watakusaidia.Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu ili nisipate tabu wakati wa kulifanya hili jambo. #Ahsanteni
Sasa wewe Mwarabu Koko Samir unataka kwenda wapi?Oman
Muulize kama aliwahi kupima DNA na wewe.Km anatoka na mama yako?
Ukiukana uraia wetu na hapa Bongo uhame.Swali lako lipo nje ya mada, sijasema nataka kwenda sehemu yyt
Anataka kuukana Utanzania. Bro umemuelewa kweli?Watu wana comment ujinga hapa unaweza kufanya hivyo ukifikisha miaka kumi na nane , unaenda mahakamani kuapa kuwa kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu nimechagua kua raia wa tanzania , hivyo ninaukana uraia wa oman sababu tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili.