Nilijua Mod ataiondoa ile thread, kwani ilikuja kizushi hivi. Aliyeiweka ile post humu ni member anayejiita CCMAsili, na ana historia ya kutunga habari. Hivi hamkumbuki kuwa aliwahi kuleta thread inayoripoti kifo cha celebrity mmoja wa Bongo? Hongera Mod kwa kuiondoa, na ikibidi aliyepost achukuliwe hatua kutokana na historia yake!!