Kukamata Matapeli wa Ajira

Ze showstopper

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
242
354
Kama tittle ilivyosema hapo naombeni kama wana jf tujadili jinsi ya kuwakamata hawa jamaa wanaotafuta hela kwa njia ya kuwatapeli job seekers na sms zao za kijinga wakidemand pesa ili ufanikiwe kwenye interview

nawasilisha..!
 
Ni vyema muombaji mwenyewe akawa makini na kujua kama huyo mtu ni kweli au muongo lakini kingine TUSIPENDE SHORTCUTS TUFUATE NJIA SAHIHI
 
Ugumu wa kuwakamata unakuja kwakua hawa jamaa hua hawataki mkutane, ataandika utumbo wake lakini ukisema tukutane anakuchenga.

TCRA sioni kama wana msaada pia, pengine teknolojia yetu bado haijatanuka kiasi chà kuweza kumtrace mtu nyendo zake mpaka kuweza kumtia nguvuni, sawa sawa na jeshi letu tu.
 
Back
Top Bottom