Kukaliwa

Kinyau

JF-Expert Member
Nov 24, 2006
917
715
Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia huitwa amekaliwa aidha na familia au mke. Consider the following, KUKALIWA facts

A) If KUKALIWA is to allow your wife to be a partner and participant in formulating the family budget, then I support it, becoz women are wiser spenders than men.

B) If KUKALIWA means that the family money is used by Mama Watoto to purchase stuff at Kariakoo rather than being drunk by the husband at RIVERSIDE then I support that men be KALIWAD.

C) If a KALIWAD husband is the one who wont spend ALL the monthly salary with DOGO DOGO or at KITIMOTO Bar (while his KIDS starve) then HOORAY to all KALIWAD husbands.

D) If KUKALIWA means that you are a partner to your wife, that she is your best friend, and has a higher priority than your drinking buddies then HOORAY to all KALIWAD husbands.

E) If KUKALIWA means that a HUSBAND spends quality time with his wife and kids, instead of engaging in dubious investments where he is CONNED then; "Watu wakaliwe forever".

f) If KUKALIWA means that when your wife is SICK you help her with work, that when she is overburdened you extend a helping hand then LONG LIVE Kukaliwa.

G) If KUKALIWA means that you DON'T BEAT UP your wife, that you you seek assistance from your wife for they are called helpers when you have tried all the altanertives in vain, then LONG LIVE Kukaliwa.

H) If KUKALIWA means that you treat your wife as a human being, that you are polite, don't bark at her like a dog, DONT growl at her like a hyena, consider that after work she is as stressed as you are then VIVA
KUKALIWA.

I) If KUKALIWA means that you are at home after work, and that your wife and kids are your next of KIN then HONGERA WALE WOTE WALIOKALIWA.

Na ukae hivyo hivyo! KAMA UMEKALIWA WEWE NI BINGWA!!
 
Kinyau,
Naomba utambue siku zote unapokuwa unaijali familia yako, hakika neno hilo ni lazima litaibuka, lakini na wewe Kinyau kwa nini uwasahau watu wa kwenu(wazazi,marafiki,majirani), na ni wewe uliyekuwa umewazoesha misaada kabla haujaoa? ni kwa nini usijipange vema ili kuweka msawazisho ktk jambo hilo?
 
mwita hapa haielezei kuwa mtu asahau wazazi wake au ndugu, ila priority ya jinsi ya kutumia hela ndani ya familia. kama usemavyo ni vema kupanga mambo pamoja mezani na kuweka wazi kwa mwenzako kuwa mimi nina majukumu haya na haya kwetu ili mwenzi wako asishangae ukipeleka hela kwenu.Hamna jambo zuri katika familia kama mipango ya pamoja.
 
Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia huitwa amekaliwa aidha na familia au mke...na ukae hivyo hivyo! KAMA UMEKALIWA WEWE NI BINGWA!!

...na Ukiwa mwepesi wa kusema; "SAMAHANI, NIMEKOSEA, NISAMEHE...!" wewe ni bingwa!
 
Bwana kukaliwa ni pindi pale wewe unapotaka kusaidia ndugu zako utaona mkeo anabeza kwa hiyo lazima ndugu waseme kuwa umekaliwa...na hii inatokea nyie hamjaona kuna akina shemeji vimeo sana wanawakalia sana kohoni mabro wetu mpaka inafikia kipindi ndugu wanashindwa kumtembelea bro nyumbani kwake kisa mke wake.Haya mambo yapo sana tena sana.HAswa wanawake ndo wanaongoza kwa kuwakalia wanaume zao mpaka jamaa anasahau kabisa ndugu wa upande wake....halina ubishi lipo sana na mifano tunayo.
 
issaya dah unanipa kazi kweli mkuu , nimemanisha kuwa kukaliwa huku nilikoelezea kunahusu mume kuwa karibu na kuweka familia yake ndio high priority kabla ya kwenda bar, nyumba ndogo nk, sikugusia hela za kuwapa ndugu. as simple as that kaka.
 
ila wengi wenye kulalama kuwa kaka amekaliwa ni wanawake kwa nn?

utaona dada au ndugu wa kike wa kaka ndio wanaolalamika ni tabu sana kuona wanaume kulalamikia hali kwa nini?

kinyau nnaomba jawabu
 
mkuu mtu wa pwani sijui sababu kamili ila nahisi wanawake wanapenda kuhold-on kwa kaka zao hata wanapokuwa na wake kwao ni ngumu kuaccept kuwa kaka sasa ana familia hivyo yeye atakuwa second priority. Na kuna hii mawifi hawaivi syndrome, I fail to know why, yani ukishawaweka pamoja kwa muda fulani baasi utasikia vimaneno.
 
Bwana kukaliwa ni pindi pale wewe unapotaka kusaidia ndugu zako utaona mkeo anabeza kwa hiyo lazima ndugu waseme kuwa umekaliwa...na hii inatokea nyie hamjaona kuna akina shemeji vimeo sana wanawakalia sana kohoni mabro wetu mpaka inafikia kipindi ndugu wanashindwa kumtembelea bro nyumbani kwake kisa mke wake.Haya mambo yapo sana tena sana.HAswa wanawake ndo wanaongoza kwa kuwakalia wanaume zao mpaka jamaa anasahau kabisa ndugu wa upande wake....halina ubishi lipo sana na mifano tunayo.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Kwa nini ukaliwe? Ndugu na marafiki zako wanapaswa kutoona tofauti kubwa baada ya wewe kuanza kuishi na bibi
 
Wapo wanao fanya hivo kwa kujjali familia kweli lakini wapo wanaofanyahivo kwa shinikizo.Hao ndio waliokaliwa.
 
Don't justify ujinga wako kwa kukaliwa na mkeo, all your points start with if, we call that conditional sentence! Yote uliyoandika Sio kukaliwa, ni kujali familia. Kukaliwa ni jinsi mkeo anavuokukalia, najua unaelewa maana kakikalia kweli kweli.

Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia huitwa amekaliwa aidha na familia au mke. Consider the following, KUKALIWA facts

A) If KUKALIWA is to allow your wife to be a partner and participant in formulating the family budget, then I support it, becoz women are wiser spenders than men.

B) If KUKALIWA means that the family money is used by Mama Watoto to purchase stuff at Kariakoo rather than being drunk by the husband at RIVERSIDE then I support that men be KALIWAD.

C) If a KALIWAD husband is the one who wont spend ALL the monthly salary with DOGO DOGO or at KITIMOTO Bar (while his KIDS starve) then HOORAY to all KALIWAD husbands.

D) If KUKALIWA means that you are a partner to your wife, that she is your best friend, and has a higher priority than your drinking buddies then HOORAY to all KALIWAD husbands.

E) If KUKALIWA means that a HUSBAND spends quality time with his wife and kids, instead of engaging in dubious investments where he is CONNED then; "Watu wakaliwe forever".

f) If KUKALIWA means that when your wife is SICK you help her with work, that when she is overburdened you extend a helping hand then LONG LIVE Kukaliwa.

G) If KUKALIWA means that you DON'T BEAT UP your wife, that you you seek assistance from your wife for they are called helpers when you have tried all the altanertives in vain, then LONG LIVE Kukaliwa.

H) If KUKALIWA means that you treat your wife as a human being, that you are polite, don't bark at her like a dog, DONT growl at her like a hyena, consider that after work she is as stressed as you are then VIVA
KUKALIWA.

I) If KUKALIWA means that you are at home after work, and that your wife and kids are your next of KIN then HONGERA WALE WOTE WALIOKALIWA.

Na ukae hivyo hivyo! KAMA UMEKALIWA WEWE NI BINGWA!!
 
About mawifi!
Mimi pia ni wifi (ninao married bros);
Ukiwa na sister ambaye hana shughuli ya kumuingizia kipato, na awe na watoto amezalia nyumbani, na kama ulikuwa unamsaidia when u were single mara nyingi ataleta shida pale utakapunguza misaada baada ya kuzidiwa majukuma ya kifamilia yako! Na sis wako blame ya kwanza itaakuwa ni mkeo na kwavile yupo home kwa wazazi wenu; atamshirikisha mama; na maneno yatakuwa mengi. Na ole wa Mke wako atapokosea kibinadamu (makosa ya kawaida) kisanabu huanzia hapo!

Lkn kwa Madada ambao wana maisha yao (hawamtegemei sana kaka), kwanza hawana muda sana hata wa kuwavisit, lkn pia incase nao wako married wanajua Adha ya mawifi, so ni rare case kufatilia maisha yenu.

Kwa kaka yangu mmoja, nilimpush hadi akamnunulia mkewe gari!

Kwa mwingine; ninamconvice kaka amfungulie mkewe biashara ili aachane na kero za nite shifts za hosptl (nurse), kaka anaelekea ila wifi anasita.

So si mawifi wote tunaleta shida kwa kaka zetu, na nimeshuhudia useless n jobless bros ambao nao wanameta shida kwenye ndoa za kaka zao! Few lakini!
 
Kukaliwa ni mtu kukaa juu yako, sasa kwa mke wako, paint a picture.

Usioe mke mzito zaidi yako kwani akikukalia anaweza kukutoa utumbo.

Just jiving.

Lakini hiyo point ya kumjua mwenzako kabla hamjaoana muhimu. Inaweza kukujuza tofauti kama mamaa anaweza "kuukalia" kikweli kweli, au anaweza "kukukalia" kimelimeli.
 
Don't justify ujinga wako kwa kukaliwa na mkeo, all your points start with if, we call that conditional sentence! Yote uliyoandika Sio kukaliwa, ni kujali familia. Kukaliwa ni jinsi mkeo anavuokukalia, najua unaelewa maana kakikalia kweli kweli.

Wewe mwerevu honestly tueleweshe maana ya kukaliwa?
Na nani anaona kuwa amekaliwa? Mume, mtu wa pembeni, ndugu, rafiki, au mke?
Mtoa mada haelewi 'ni lini, na wapi, Mazingira gani, au viashiria vya kukaliwa' na ndio maana ametumia viashiria hivyo anavyovijua kama ndiyo tafsiri watu hutumia kwa hili neno "kukaliwa"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom