Kukaliwa na mwanamke

Yaaani mkuu...nimekupenda bure mtoa mada......kula like kama efu 10 hivi
 

Kuna wengine apo ni mapretender limesetisha mambo kwa mkewe lkn anakudanganya ww ukagombane na mkeo....afu ndo wa kwanza kukucheka kukiwaka moto kwako...mijitu bhana
 
NIMEKUPENDA BURE MLETA UZI...
mwanaume anayetamba kuwa mkewe hawezi muuliza yuko wapi...mi namdharau tu...
Nashukuru wengi niwajuao hawana huo uzumbukuku...
 
Unaweza ukashangaa unamkuta anapiga deki na kuosha vyombo kwake...
Za kuambiwa changanya na zako...


Kuna wengine apo ni mapretender limesetisha mambo kwa mkewe lkn anakudanganya ww ukagombane na mkeo....afu ndo wa kwanza kukucheka kukiwaka moto kwako...mijitu bhana
 
Mimi anapiga simu nyumbani ya mezani kucheki niko au. Sometimes nampigia kwamba nina report mama.
 
New kid on the block.

 
Last edited by a moderator:
Mkeo ulomwoa Jmosi iliyopita ndo kakutuma utufundishe nn?
 
Unarudi saa Saba iwe mara moja moja...ukizidisha unatoa stimu, siku utapishana na mume mwenzio kwa mlango ohooo!
 
Unaweza ukashangaa unamkuta anapiga deki na kuosha vyombo kwake...
Za kuambiwa changanya na zako...

kwani kuna tatizo mtu akiosha na kupiga deki nyumbani kwake?!!!...mimi napika, nafua nguo...hakuna kazi nayoipenda kama kuogesha watoto wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…