Kukaliwa na mwanamke


una akili nyingi sana Benteke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mleta mada uko sahihi kabisa kwanza kwa binafsi yangu mimi nacho jua duniani nimetumwa upendo na nitampatia kila mmoja ataefungua moyo wake au kuwa tayari kupendwa,kuwa cheated au kupigwa kibuti haimaanishi kuwa sihitaji tena kupenda nitapenda even 1000 times,sikuzote hata ndege mzuri hutua mti aupendao pukiachilia mapendi basi nayoyatafata mkondo wake
 
tinna mrembo.. sasa mwanaume hataki aulizwe yuko wapi na mke wake si kituko hicho. Tena napaaza sauti katikati ya wanaume wenzake. Ni ujinga sana. Sasa asiulizwe yuko wapi kwani yeye ni nani hapa daslam. Mengi mwenyewe anaulizwa na Jaki.

Mie mwenzenu hilo ndo swali langu kubwa nikimpigia laazizi wangu kwanza uko wapi? Nae huwa anajibu bila hiyana!
 
duh! hivi viswahili vya mjini sisi wa kibirizi hata hatuelewi kabisaa, niliposoma "kukaliwa na mwanamke" nikajua mwanamke amekukalia mapajani, kumbe ni kitu tofauti?!!
 
Bulldog njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…