kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo.
Wadau wakubwa wa ajali hizi ni madereva, wenye magari, traffic Police, watengeneza barabara, wasimamizi wa usafiri, shule za udereva watoa leseni za udereva, mafundi wa magari, wakaguzi wa magari, wanaoingiza nchini spea za magari, wanaoingiza magari, tbs, na wauzaji wa vileo. Mifumo hii yote. Kote huko Kuna mchango katika kupata ajali.
Kuna vifaa duni sana vya magari vinaingizwa nchini. Gurudumu ni jipya lakini limeisha muda wake na ni fake. Spea za magari ni fake na mbovu bora hata kununua spea used kuliko mpya.
Traffic hapunguzi ajali bali anawinda makosa tu barabarani.
Leseni za udereva zinatokewa kama njugu.
Barabara zetu ni mbovu na finyu.
Madereva wanaendesha wakiwa wamelewa. Kule kwa wenzetu madereva wanapimwa kuona kama damu Ina kilevi.
tbs wanaruhusu bidhaa feki na zilizoisha muda wake kuwepo madukani.
Magari mengi (80%) yanatengenezwa na mafundi wa mitaani tu.
Mifumo yote hii kama ikisomana ajali zitapotea.