Kukaa Uswahili Kuna Raha Zake..

Uswahilini napenda kuku wa kienyeji tu vitoto vidogo vidogo lakini hatari
 
Hapo vijana ndo muwe makini, as wengine kwetu demu ukizaa nae lazima aolewe nawe as familia itashadadia hadi umuoe.. So tunacheza kwa uangalifu kwenye miba huku tumevaa mabuti..
 
Baba wa mtoto atakuwa alikimbia 7bu ya utaratibu wanaotumia ndugu dada, wasipoangalia na huyo atakimbia.... baadaye atakuwa na watoto watano wa baba tofautitofauti............



Society ya watu wa uswahilini ni sawa na black Americans. Marekani utakuta demu kijana tu ana watoto 3 mpaka 5 baba tofauti tofauti. Na demu akikuhisi una hela za kununua Kentucky Fried chicken basi atahamisha watoto wote kwako kuja kufunga kambi. Yaani kuwa a black American kwa kweli ni parasite na haibu na ndiyo maana nawashangaa sana vijana wa hapa bongo wanaojifananisha na Lil' Wayne.
 
waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake....



Kwa analog hii, basi mimi nitampenda huyo demu na nywele zake za katikati ya miguu kwani it's my hobby kuzichana kabla ya tendo. Ila hao watoto waende kwa baba zao au ndugu wa baba zao. Ni dhambi kutunza mtoto wa mtu.
 
Then again, tuangalie hali halisi. Tukisema uswahilini tuna kosea kwani hii tabia ipo kwa kila karibia demu hapa bongo. Mwanamke si mpumbavu kama tunavyodhania sie wanaume. Tutambue kuwa, mwanamke anapohamua kushika mimba yako anakuwa amekusoma A mpaka Z na anajuwa fika ni faida gani ataipata kwako akikuzalia kwani wengi wanaamini akikuzalia ndiyo amekushikisha adabu. Hii tabia ni ya wanawake karibia wote. Ila uzuri na faida ya uswahilini ni kuwa na mademu bomba maana 99.9% ya watoto wa vigogo are ugly na ndiyo maana wanatapatapa ili waonekane, nani anabisha hili? Leteni mjadala!
 

kumbe siku moja moja una unaandika ma pwent? kula like
 

Tenda wema uende zako
 
kwi kwi kwi, kazi kweli kweli uswahilini kuna mambo tuchukue tahadahari kabla ya mambo kuaharibika
 
Wewe ujapenda, halafu tenda wema nenda zako usingoje shukrani
 
wanasema ukipenda boga penda na uwalake sasa iweje yeye apende kimoja apende vyote.
 

We Lara1 una visa wewe! Mara bosi mnoko, mara rafiki uliyempeleka home anawatega kaka na dingi nyumbani, mara kibinti cha miaka 13 kimeanza ufuska shuleni, mara una mpango wa kunukisha hili soo la mtoto anayebaguliwa duh.
 

Source??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…