Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Kinyongo ni kujiongezea magonjwa yasiyo ya msingi.Kabisa mimi nilikaa na ki nyongo for more than three years nilibakia kupata magonjwa Ya ajabu. I am learning how to Let go...
Kinyongo ni kuTokusamehe jambo pale unapokumbuka unakua na uchungu na kuwaza mabaya.. kumbukumbu ni fikra ya mambo yaliotokea. Yaweza kuwa baya au zuri.Kuna kinyongo na kumbukumbu!Kinyongo ni ninj na kumbukumbu ni nini?
Let say mtu alikutesa utotoni,ina maana ukikumbuka yale mateso ndo kinyongo?unaweza kupotezea ule ujinga ila huwez kusahau,uloyaandika hapa sio vinyongo ni kumbukumbu ya mambo ambayo mtu au watu walikufanyia na hutayasahau.
Kinyongo si hayo uloyabainisha
Unaweza ukawa umemsamehe lakini pia ukakumbuka upuuz wake muhusika,Kinyongo ni kuTokusamehe jambo pale unapokumbuka unakua na uchungu na kuwaza mabaya.. kumbukumbu ni fikra ya mambo yaliotokea. Yaweza kuwa baya au zuri.
Ni kweliii usemalooo.Kukaa na kinyongo ni sawa na kunywa sumu ya panya alafu utegemee mtu mwingine afe.
Kusamehe ni starehe ya roho. Wajitaidi.Kukaa na kinyongo ni sawa na kunywa sumu ya panya alafu utegemee mtu mwingine afe.
Ni kweliKwa ufupi kinyo hutesa
Ni kweli aseeeee.Ndiyo! Kuna kumbukumbu na kinyongo ni tofauti. Wenye vinyongo mara nyingi hulipiza visasi. Bora usamehe usahau maisha yaendelee, lakini wenye moyo wa hivyo ni wachache.