Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Wewe ni she/he?Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia naombeni ushauri wenu wadau.
Unapitia yepi mbona unatupa fumbo , fungukaWadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia naombeni ushauri wenu wadau.
Unataka mshauri Nini mbona unaulizia jinsia?😂😂😂Wewe ni she/he?
Si unajua mtoto wa kiume kukaa kwa dada ni tofauti na mtoto wa kike?? Mashemeji wana kamtindo ka kupenda kula tunda kimasiharaUnataka mshauri Nini mbona unaulizia jinsia?😂😂😂
😂😂😂 Arudi nyumbani akajipange upya aanze maisha yake uko uko maish aya kuishi kwa ndugu tena kama mjini ni adhabuSi unajua mtoto wa kiume kukaa kwa dada ni tofauti na mtoto wa kike?? Mashemeji wana kamtindo ka kupenda kula tunda kimasihara
Maana unaweza kukuta jamaa linamkunja sista kama linabanika ngozi... dada anapiga ukunga akisikilizia utamu.😂😂😂 Arudi nyumbani akajipange upya aanze maisha yake uko uko maish aya kuishi kwa ndugu tena kama mjini ni adhabu
Hapo nduyo ujue shemeji anampa dadaako anachotaka, kuna siku nilienda ukweni na wife siunajua mazingira mapya, nilimtafuna wife kibabe yaani mpaka tunaamka asubuhi watu wote wamenuna.Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia yaani nyumba haina singboard So hizo kwich kwich walahi asubuhi huwa natimka maana huwa nashindwa hata kumuangalia sister usoni naombeni ushauri wenu wadau.
Kwani si alitolewa mahari?Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia yaani nyumba haina singboard So hizo kwich kwich walahi asubuhi huwa natimka maana huwa nashindwa hata kumuangalia sister usoni naombeni ushauri wenu wadau.
watu mna roho mbaya unaamua kujirudishia mahali ukweni dahHapo nduyo ujue shemeji anampa dadaako anachotaka, kuna siku nilienda ukweni na wife siunajua mazingira mapya, nilimtafuna wife kibabe yaani mpaka tunaamka asubuhi watu wote wamenuna.
Haaa haaa vijana wanapenda mseleleko wakitoka vijijini wakija mjini salimia wanaaga vijijini kuwa dada kanichukua wanakomaa kisa mjini, binti au kijana unakuta anatumikishwa kama punda, na utakuta analala jikoni yani kisa mjini tu anakomaa inauzi sanaMaana unaweza kukuta jamaa linamkunja sista kama linabanika ngozi... dada anapiga ukunga akisikilizia utamu.
Afu jamaa katikati ya gemu linamwambia mtukane babaako... unasikia sista akibwatuka "keimamae zako baba"
Sasa hapo utawezaje kukaa?
Au asubuhi jamaa linamtandika vibao sistaako huku unaona... si kujitafutia matatizo ya kisaikolojia?