HABARI…

HABARI…

Sir mgax

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
2,150
Reaction score
3,820
Yes,Hii ndiyo salamu sahihiambayo imehalalishwa dunia nzima.

Kwa mfano kizazi cha sasa ambacho kinapambana sana kujua lugha ya dunia haswa kibiashara,ninaweza kusema wamesha sahau jadi zao.

Sio kosa,
Ndio kabisa kwa sababu hata hizo za jadi ni zile zile za kujuliana hali,ni SALAMU.

Ndugu wanajaukwa,karibu kwa la kuongeza au kupunguza.
 
Back
Top Bottom