Mtazamaji unafikiri sisi watu wa TEKNOHAMA hatuwezi kwenda mbali zaidi ya hii hapa kwa kushiriki shuguli mbalimbali mfano tunajiandaa siku fulani tutaenda shule za msingi kufundisha masuala ya teknohama kidogo , mwezi ujao tunatembelea vyuoni kuonana na wanafunzi na mambo mengine mengi tu kwanini tusiende zaidi ya hapa zaidi ya mazungumzo