Kujuana Kuchat na Mtoko

Kujuana Kuchat na Mtoko

Mtu mzima wewe na kuchat wapi na wapi
 
Kaka USISEME HATUNA HELA , sema sina hela wenzio wanakawaida ya kusave ili kujivinjali mapumzikoni wakati miradi inaendelea kuingiza hela, watoto washaenda shule.... IGA ni desturi nzuri kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahyo boss una hela? naimani kabsa kama ungekuwa na hela usingehangaika kutafuta huku maana ukiwa nazo wanakuja wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom