Kujizuia na 'personality change' ........

Usisahau mandela baada ya kutoka jela aliachana na mkewe. I was a teen then, nilisikitishwa sana na divorce yao. I even cried, na kujiuliza aafter all these years, why why and why!

.....mzee madiba mie simlaumu sana la kuachana na mama Winnie...

Mnapoingia kwenye mahusiano mnawekeza kwenye 'emotional' account.

Kuchukua maamuzi mazito na magumu ili kunusuru afya ya akili yako ni MUHIMU kuliko yule anayeogopa kuchukua hatua hiyo kwakuwa ana 'ogopa' JAMII itamuelewaje.

Positive Mental Attitude ni pamoja na kutafakari, kuchukua hatua, na kusimamia kile unachojithibitishia ndio sahihi na salama kwa "afya ya akili" yako (which brings us back to this topic)

Watu wanaua/na sababu ya MMU 🙁
 
Mimi nitajisemea mwenyewe mtu anabadilishwa na mazingira ...................

Mfano mimi nilikuja huku na heshima za Tanzania (nyumbani) lakini wale watu naishi nao ni tofauti unafanya wema wanakuona kama wewe mjinga nimejikuta na mimi nimekuwa kama wao walivyo.....................hata nikirudi home watu wanajiuliza kwani umekuwa na roho mbaya aje
 
Ulikuwa teen??

Nakugaya, kumbe yiu are current affairs and am history??

Usisahau mandela baada ya kutoka jela aliachana na mkewe. I was a teen then, nilisikitishwa sana na divorce yao. I even cried, na kujiuliza aafter all these years, why why and why!
 
Ha ha ha ha ha ha, unaleta adabu za Buhangija huku Lugalo?

Utajuuuta kutufahamu.

Topic ngumu, ila ina mantiki, nitarudi kujaza yangu.

 

umeongea point ya kujadili majanga kabla hayajatokea
hiyo ni ngumu sana kwa kweli
kiafrica tunaita 'uchuro' lol
 


Na kama jamii inakuona umekosea na kukushanga
je hiyo haiwezi athiri your mental state?
 


I pray for you
lakini anza ku accept kwanza kuwa matatizo yako yanawatokea pia wengine
halafu taratibu anza kutatua moja baada ya lingine
na kuomba mungu pia
 

Watu hubadilika hadi wana miss their old self...
kubadilika ni lazima lakini kuna vitu ni kama foundation ya mtu alivyo
so ukiona mtu kabadilika hadi foundation nayo inashangaza
 


Asante kwa ku mention mabadiliko yanatokea pia 'tukifanikiwa'
nayo yanaweza kufanya uka loose everything
watu wana loose ndugu na marafiki sababu wana 'mafanikio mapya'
 


Ni makosa kuruhusu watu wenye roho mbaya
kukubadili na wewe kuwa kama wao
 
kujitambua .ni mwanzo wa kuyamudu mabadiliko ya kimaumbile na kimtazamo pia.... ila kujitambua huko kusiendane na kujaribu....
 
umeongea point ya kujadili majanga kabla hayajatokea
hiyo ni ngumu sana kwa kweli
kiafrica tunaita 'uchuro' lol

....hapana, kwa mtazamo wangu discussing reality na alternatives ni maturity,....

.....akili za 'uchuro' zinatoa mtazamo wa mtu pessimistic, ambaye hata ukimuuliza fence, gate, grills na locks 'milangoni' zinamsaidia nini moto ukilipuka ndani ya nyumba hatakuwa na jibu.
 
Na kama jamii inakuona umekosea na kukushanga
je hiyo haiwezi athiri your mental state?

.....huwezi kuzuia jamii kukushangaa, au kukuona unakosea, ndio ubinadamu huo!

Simamia kwa unachokiamini, it's all about what u think, believe and ur attitude. Ndo maana kuna wavumbuzi, wahubiri,....na pia kuna wanaoshangaa imekuwaje!
 
Ni makosa kuruhusu watu wenye roho mbaya
kukubadili na wewe kuwa kama wao

Si watu ni mazingira ndo yananifanya nibadilike unamtrust mtu unaishi nae anakuibia kila kitu what do u expect surely? Unawanunulia soda kama sio bia wanasema yule ---- twende tukamnywe can u imagien The Boss u dont know what u ar talking about for sure
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa ku mention mabadiliko yanatokea pia 'tukifanikiwa'
nayo yanaweza kufanya uka loose everything
watu wana loose ndugu na marafiki sababu wana 'mafanikio mapya'
The Boss hakuna kitu kibaya kama mtu ufanikiwe halafu hujui kwanini umefanikiwa na unatakiwa kufanya nini kwa mafanikio nayo.
usipoyajua hayo, ni wazi kwamba hautatumia mafaniko yako kama mwanga kwa wengine bali utayatumia kama fimbo kwa wengine. na ieleweke kwamba unapobadilika negatively kwasababu ya mafanikio uliyonayo unatengeneza maadui wengi kuliko marafiki na doa unalojitia huwa halisafishiki manake hupanda mbegu ya kisasi ndani yake.
 
Last edited by a moderator:


Wapo wengi mno mafanikio huwa chanzo
chao cha ku fall down na hata kufa
Wazungu wanasema 'be carefull on what you wish for,you might get it'
 
Wapo wengi mno mafanikio huwa chanzo
chao cha ku fall down na hata kufa
Wazungu wanasema 'be carefull on what you wish for,you might get it'
that is very very true.

ila sasa swali la msingi la kuijiuliza ni hili hapa, ""je katika maisha yangu ningependa mtu mwingine anifanyie nini?? na je ninao uwezo wa kuyatenda haya kwa wengine kama ninavyotaka akutendewa??

istoshe tusiangalie maisha ya mafanikio ama kutokufanikiwa kama sababu hasaa ya kutufanya tubadilike bali tuangalie kwamba utu wetu wa ndani ndio sababisho.
 
.....huwezi kuzuia jamii kukushangaa, au kukuona unakosea, ndio ubinadamu huo!

Simamia kwa unachokiamini, it's all about what u think, believe and ur attitude. Ndo maana kuna wavumbuzi, wahubiri,....na pia kuna wanaoshangaa imekuwaje!
lakin Mbu inabidi ujiulize kwamba kwann watu wananishangaa ama wanaiaona mkosa, pia assess your self who is the root course of wereva am doing.

manake in most cases we tend to complain others when we do mistakes but we forget that we are the sole course of our mistakes.
 
Last edited by a moderator:

.....upo sahihi, ndio maana hapo awali nilizungumzia "uwe tayari kukosolewa na kujikosoa" coz, nobody is perfect. No wonder wana saikolojia wanatupa mifano hata kwa kutumia JOHARI window ;

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…