MTH center
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 115
- 52
wanaJF,
wakati wa mjadala wa escrow niliwasikia baadhi ya wabunge bungeni wakimtetea pinda km PM kuwa hana kosa na hivyo hana sababu za kuwajibika kwa suala la ecrow! mimi ninavyojua wizara zote ziko chini yake na anapoharibu waziri yeyote kaharibu yeye pia. Kabla ya mtu wa nje ya serikali (mfn, Kafulila a.k.a Tumbili) kuona uchafu wa wizara alipaswa PM awe wa kwanza kuliona na kukemea ndan kwa ndani.
Je yeye km waziri mkuu a haribu wizara gani ili awajibike?
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.
Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?
Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?

Mahaba ni kitu kibaya sana.Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.
Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?
Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.
Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?
Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?
Hata hujui unachokisema
Mahaba ni kitu kibaya sana.
.......na kwa kazi nzuri aliyoifanya anne kilango malechela kuipiga chini ripoti ya zito, jana jk kamzawadia unaibu waziri
Wewe na CCM yako unapata wapi moral authority ya kijitanabaisha kwa neno ukweli? Nyie ni waongo wakubwa, mnapaswa kujiskia aibu sana kutamka neno ukweli.Hakuna kitu kizuri kama ukweli, tatizo wengi wenu hamuuoni.
FaizaFoxy, kwa nini wewe uko hivi? Mbona kila kitu ni mbishi tu kama vile huna nafsi?
Muhongo je?kweli bi mkora unazeeka vibaya.
Ungeona utupu wako na harufu yako chafuu unatoa harufuHakuna kitu kizuri kama ukweli, tatizo wengi wenu hamuuoni.
Ungeona utupu wako na harufu yako chafuu unatoa harufu
swissme
Huwezi kunielewa, bado capacity yako ni finyu sana.
Umehororoja tu.....Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.