Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 146
Mengi asije akagusa gesi yetu, tutamnyonga
Gesi yenu we na nani? Labda ushuzi ndo gesi unayoweza kumiliki
.....''Lure ideas".........
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nasubiri atibuane na Bakhresa nione sasa vita itafika wap
Mengi asije akagusa gesi yetu, tutamnyonga
Hahahahahaha... HAWEZI kumsogelea Bakhresa, si unajua watoto wa Pemba wanavyotembeaga na MAJINI? Labda kama anatamani Kifo.
Si kwamba huyu mpemba anatembea na majini, kwani Mengi si nliskia kamtoa kafara mwanawe? :-D
Huyu Bakhresa hapa Tanzania ana power, yeye hana show off kama za mengi, Mengi si anapenda publicity tu.
Siki akitibuana nae naona mengi sijui atabakia na biashara gani, mana jamaa ataingia katika biashara yako kisha product zake zitakuwa bei cheeeee kabisa makusudi wateja wahamie kwake. Hebu waulize wenye kampuni za meli zile za kwenda visiwani, Sea Star na Sea Express, zipo wapi saiv?
Yaani huyu Bakhresa siku aamue akumalize kibiashara utajuta

kwani hiyo gesi ni mali ya ccm.Mengi asije akagusa gesi yetu, tutamnyonga