Mlume Ndago
Member
- Jul 28, 2025
- 43
- 60
Nikishalipa hiyo mara moja ndio basi au kila mwezi wananichaji?wanasema sms charges ni bei sana bongo, Hawawezi kukulipia
Nikishalipa hiyo mara moja ndio basi au kila mwezi wananichaji?
Ina kila kitu ila mimi naipenda hasa upande wa courses mbalimbali na vitabu vya kila field...na kidogo yale mambo yetu marijali. Na ina usalama zaidi kuliko Whatsapp.hio app mnaitumia kwenye inshu gani wazee?
nilikuwa naigugo hapa nimeambiwa hayo mambo yakirijali hayatakiwi nikinyume cha Sheria kwenye hio appIna kila kitu ila mimi naipenda hasa upande wa courses mbalimbali na vitabu vya kila field...na kidogo yale mambo yetu marijali. Na ina usalama zaidi kuliko Whatsapp.
App ya ki russia hio iko very securedIna kila kitu ila mimi naipenda hasa upande wa courses mbalimbali na vitabu vya kila field...na kidogo yale mambo yetu marijali. Na ina usalama zaidi kuliko Whatsapp.
Yapo mengi sana. Riverside yote ilishahamia huko!nilikuwa naigugo hapa nimeambiwa hayo mambo yakirijali hayatakiwi nikinyume cha Sheria kwenye hio app
duh siopoaYapo mengi sana. Riverside yote ilishahamia huko!
Duuh kwahiyo OTP Termination ni Buku 3?wanasema sms charges ni bei sana bongo, Hawawezi kukulipia
Yaani kuanzia kesho ulikuwa ukijaribu....!!...za usoni..
Mara moja kwa wikiNikishalipa hiyo mara moja ndio basi au kila mwezi wananichaji?
hio app mnaitumia kwenye inshu gani wazee?