Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
aisee hapo kuna shida! 1.5 Kila mwaka sio mchezo!1.5m ni kila mwaka..
mf. mwaka 2018 unalipa 1.5m ( hii ya mwaka wa 1 hautaruhusiwa kutibiwa magonjwa makubwa sababu ndio unaanza)
mwaka 2019 unalipa 1.5m ingine hapa una renew na unatibiwa magonjwa makubwa
mwaka 2020 unalipa 1.5m ingine hapa unarenew tena na unatibiwa magonjwa makubwa
mwaka 2021 unalipa 1.5m hapa una renew tena na unatibiwa magonjwa makubwa