Kaka wametoa tembelea website yao hii
http://www.jkt.go.tz utapata maelekezo
Ila wamesema kuwa mnatakiwa kuriport makambini tarehe 24 mwezi huu alafu mtunze tiketi ili mkifika wawarudishie nauli zenu mara tu baada ya kuripoti vikosini!!!!!!!!!!!!!!kazi kwako kaka ziwahi hizi naso usije kukosa na hizi
wishing you good success