Kujiunga na jkt

Maliselo

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
233
30
Habar? wadau msaada wenu mwenye any infor kuhusu nafasi za kujiunga na jkt, nlsikia nafasi zinaweza toka mwezi huu wa 6, pls mwenye infor yoyote kuhusu hilo
 
Vuta subra mkuu, kuna wadau kibao tunazisubiria, ila tuwasubiri wadau wengine huku ambao wako jikoni watujulishe zaidi.
 
Habar? wadau msaada wenu mwenye any infor kuhusu nafasi za kujiunga na jkt, nlsikia nafasi zinaweza toka mwezi huu wa 6, pls mwenye infor yoyote kuhusu hilo
Kaka wametoa tembelea website yao hii http://www.jkt.go.tz utapata maelekezo
Ila wamesema kuwa mnatakiwa kuriport makambini tarehe 24 mwezi huu alafu mtunze tiketi ili mkifika wawarudishie nauli zenu mara tu baada ya kuripoti vikosini!!!!!!!!!!!!!!kazi kwako kaka ziwahi hizi naso usije kukosa na hizi
wishing you good success
 
Toeni maelezo kwa wanaohitimu vyuo vikuu mwezi huu,website haina tangazo la awamu la pili lipo lile la mwanzo
 
hili tangazo linawahusu wale wote watakaoenda kule kwa mujibu wa sheria tu na mtu asyereport atachukuliwa atua za ksheria, sis tunaitaj nafas za wale wa kujtolea
 
kwa vyuo sidhani kama wanachukua wametoa kwa formsix tu xo labda nawe utujuze ukisikia kwa vyuo kama watatoa au la xo we don have any info for those who are studyng by now in colleges/university to join an amry myn
 
hili tangazo linawahusu wale wote watakaoenda kule kwa mujibu wa sheria tu na mtu asyereport atachukuliwa atua za ksheria, sis tunaitaj nafas za wale wa kujtolea
Nadhani muda wa kuchukua wa kujitolea bado kwasasa wanampango na formsix tu xo labda jaribu kumuuliza mshauri wa mgambo aliye karibu nawe ndo atakupa majibu sahihi kabisa!!!!!!!!!!!kama na wakujitolea nao wanapaswa kwenda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom