Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
Ni poa
Duh kiswahili kigumu. Sijui kiingereza itakuwaje. Na kichina Itakuwa ni kiama kabisaYahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.
sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.
nazani humenipata mkubwa
Na kwa wale walioenda kwa mujibu wa sheria lazima tena wapite jkt?Hivi ni monduli? Au minduli? Nijuavyo mimi chuo cha TMA Kinacho train ma Afisa cardet sio Minduli bali Monduli.. Sio kazi Rahisi kuna 2yrs utapga kazi kama private'' na sifa sio diploma bali 4m six na bachala,, ka six ulpga dv 4 ukaenda dip Sahau, utaixhia vyeo vya kuvizia tu ie, Rans koplo,, koplo, sajent.. Staff sajent, ukpewa u RSM unasubiri kustaaf
Habar zenu wanajamii wenzangu.
Mimi ni kijana nliyemaliza masomo yangu ngazi ya stashahada,
Naomba kuliza kuna tetesi nimeziskia kama wanajeshi wanaanza kuandikisha kupitia mikoa je huu ni ukweli, na kama ni kweli utaratibu unaotumika ni upi?
Please naombeni majibu kwani mwenzenu nina hamu na mapenzi makubwa ya kutaka kujiunga na JWTZ.
Ki kawaida nafasi zkitokea kwa upande wa znz taarfa znafkia kwa masheha wao wanatangaza kwa watu wao na wanatoa barua ww unaenda nayo wlayan ukiwa navyet vyako na utapata maelekezo mengne huko pia kw upand wa bara nafas zna kuja wlayani had kwenye tarafa unafuata hao viongoz wako na utapewa utaratbu
Mie hoi tuu kwenye matumizi ya "a" na "h"Yahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.
sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.
nazani humenipata mkubwa
Mwaka huu hatuchukui vijana hadi mwakaniMkuu mm napenda kujua za mwaka huu zinatoka Lin Mwenye taharifa yoyote anijuze asee
Mwaka huu WA 2016 Zinatoka lini mkuu.Jeshi Linahitaji degree za Sayansi..hasa ya IT...Maana Tayari tumenunua midoli ya kupiga ukiwa mbele ya computation Kama video games
Ukiondoa wasomi wachache wengi ya wasomi walioingia jeshi Ilikuja kugundulika kuwa lengo Lao kuu ni ajira ...na sio wito hao sio maafisa wazuri ....kwa maana Hiyo kikwazo cha kuwa afisa kimeongezwa ....unatakiwa ujitoleee JKT Mwaka mmoja ..uendelee Recruit Training Tena Karibu Mwaka baada ya Hapo ndio wenye sifa na elimu wataenda Monduli ......panaweza kuwa na some exceptions kadiri ya mahitaji ya teknelojia .....ie Madaktari ,nuclear scientists , and other high tech training ambazo hazihitaji Sana combat capabilities ....maana vifaa Vingi ni high tech , lakini wale wa Law ,accounts ,hata baadhi ya sciences ambazo sio priority wasitegemee Tena fast track
Maafisa ambao hawana degree hasa ambao wameishia form six ni wazuri Sana ..kwenye combat ......vile vile jeshi hata walioishia la Saba in rare cases wanachukuliwa na wanasifiwa kuwa wapiganaji wazuri zaidi ......tatizo la wasomi fatigue ikiwa kubwa wanaanza kutamani kazi za TRA na wengine wakiajiriwa tu wako fasta kupiga hela