Kujiunga na Jeshi la Wananchi 2014/2015

Kujiunga na Jeshi la Wananchi 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Acha uongo,usiongee vitu usivyovijua,mm nina washkaji zangu kibao ni maengeners,lawyers,accountants teachers allmost all professionals wamepitia kanembwa na bulombola wamehenya sana kwenye ukuruta na sasa hv wamekatwa mabogi ya mtabila,mgulani,mbweni,kimbiji na MMJKT wanasubiri usaili wa kwenda TPDF na baada ya.kuhenya todd kwa muda wa miezi minne ndi wengine wanaweza kubaatika kwenda minduli moja kwa moja au kwenda level three ya todf kabla ya kwenda monduli.jipange brother hakuna kwenda monduli moha kwa moja mpaka uhenye kwenye uzalendo,ukuruta na userviceman.for more info pm me

Ahsante kwa analysis nzuri, umemwondoa tongotongo mtoa mada.
 
leo kila kijana ana mawazo ya kwenda jwtz du tafuteni ajira nyingine na tuache kudanganyana mara utapata nyota mbili au moja
 
DA kaz sana mkubwa ,ila kama wwe una fan ya udaktar na baadh engeneearing course huwa wanatangazaga nafasi na watu huenda mondul kusomea uafisa course ya nyota mbil,lakin kama wwe una fan ya kawaida unaanzia JKT kwa kujitolea miaka 2 ndo uende JW

Baadhi za Engineering zipi mkuu,hebu zitaje hizo kozi za Engineering ambazo ni kipaumbele kwa jwtz mkuu plz kwa msaada wa wengi
 
Hivi ni monduli? Au minduli? Nijuavyo mimi chuo cha TMA Kinacho train ma Afisa cardet sio Minduli bali Monduli.. Sio kazi Rahisi kuna 2yrs utapga kazi kama private'' na sifa sio diploma bali 4m six na bachala,, ka six ulpga dv 4 ukaenda dip Sahau, utaixhia vyeo vya kuvizia tu ie, Rans koplo,, koplo, sajent.. Staff sajent, ukpewa u RSM unasubiri kustaaf
 
Ieleweke wazi jkt hakuna ajira sio mnakazana kwenda kesho kutwa mnaanza kumpa stress mh.rais
 
Ki kawaida nafasi zkitokea kwa upande wa znz taarfa znafkia kwa masheha wao wanatangaza kwa watu wao na wanatoa barua ww unaenda nayo wlayan ukiwa navyet vyako na utapata maelekezo mengne huko pia kw upand wa bara nafas zna kuja wlayani had kwenye tarafa unafuata hao viongoz wako na utapewa utaratbu
 
Yahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.

sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.

nazani humenipata mkubwa

Daah kama maafande wote wapo km wewe basi naprov ile theory ya kua nyie ni "Iron boys"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom