Kujiunga na Jeshi la Wananchi 2014/2015

Kujiunga na Jeshi la Wananchi 2014/2015

Status
Not open for further replies.

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
Habar zenu wanajamii wenzangu.

Mimi ni kijana nliyemaliza masomo yangu ngazi ya stashahada,

Naomba kuliza kuna tetesi nimeziskia kama wanajeshi wanaanza kuandikisha kupitia mikoa je huu ni ukweli, na kama ni kweli utaratibu unaotumika ni upi?

Please naombeni majibu kwani mwenzenu nina hamu na mapenzi makubwa ya kutaka kujiunga na JWTZ.
 
DA kaz sana mkubwa ,ila kama wwe una fan ya udaktar na baadh engeneearing course huwa wanatangazaga nafasi na watu huenda mondul kusomea uafisa course ya nyota mbil,lakin kama wwe una fan ya kawaida unaanzia JKT kwa kujitolea miaka 2 ndo uende JW
 
Na hata akikaa miaka miwili chance ya kwenda JWTZ bado ni ndoto kuna ma graduates kibao wanasubiri chance ya kwenda huko hadi wanajuta tafuta tu kingine cha kufanya
 
Penye nia pana njia MTU wangu.jikaze lazima hupite jkt kwanza miezi sita ndipo husubiri interview ya jwtz ndani ya miaka miwili hukiwa jkt
 
jaman mbna kuna mkanganiko apo xx miez 6 au miaka 2
 
Yahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.

sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.

nazani humenipata mkubwa
 
Yahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.nazani humenipata mkubwa

nimekuelewa brother samhn lbda ungenisaidia utaratib wa kujiunga km itawezekana nataka niingie january
 
Umesoma nini, una umri gani, una vyeti vyote muhimu? Apply JKT Jan mwishoni 15.
 
i thik you are goverment officer right??maana maswali yaki yako direct na unajua mpka tarehe ya jkt kutoa nafasi sisi wa mikoani tutapataje ambao ni over 23 umri??
 
DA kaz sana mkubwa ,ila kama wwe una fan ya udaktar na baadh engeneearing course huwa wanatangazaga nafasi na watu huenda mondul kusomea uafisa course ya nyota mbil,lakin kama wwe una fan ya kawaida unaanzia JKT kwa kujitolea miaka 2 ndo uende JW

Acha uongo,usiongee vitu usivyovijua,mm nina washkaji zangu kibao ni maengeners,lawyers,accountants teachers allmost all professionals wamepitia kanembwa na bulombola wamehenya sana kwenye ukuruta na sasa hv wamekatwa mabogi ya mtabila,mgulani,mbweni,kimbiji na MMJKT wanasubiri usaili wa kwenda TPDF na baada ya.kuhenya todd kwa muda wa miezi minne ndi wengine wanaweza kubaatika kwenda minduli moja kwa moja au kwenda level three ya todf kabla ya kwenda monduli.jipange brother hakuna kwenda monduli moha kwa moja mpaka uhenye kwenye uzalendo,ukuruta na userviceman.for more info pm me
 
Thanks for the good clarification.
 
ungejaribu kutembelea website yao kuna maelekezo zaidi ndugu yangu ila sio rahis kuingia jeshi kipindi hiki kama una namna zingine bora ufanya pia kama huna haraka na maisha subiria jeshi kila mtu na bahati yake ndugu yangu cha msingi usikate tamaa
 
endelea kukomaa mkuu nafas zipo kikubwa nia tuu.! mwakan mishe zinaanza mwez wa kwanza ila kozi rasmi inaweza kuanza mwez wa sita na ingekua safi san kama ungekua na m'buyu yaani mtu wa kukusimamia kwenye mambo yako yote.
 
Acha uongo,usiongee vitu usivyovijua,mm nina washkaji zangu kibao ni maengeners,lawyers,accountants teachers allmost all professionals wamepitia kanembwa na bulombola wamehenya sana kwenye ukuruta na sasa hv wamekatwa mabogi ya mtabila,mgulani,mbweni,kimbiji na MMJKT wanasubiri usaili wa kwenda TPDF na baada ya.kuhenya todd kwa muda wa miezi minne ndi wengine wanaweza kubaatika kwenda minduli moja kwa moja au kwenda level three ya todf kabla ya kwenda monduli.jipange brother hakuna kwenda monduli moha kwa moja mpaka uhenye kwenye uzalendo,ukuruta na userviceman.for more info pm me

Ebwana Nitafikaje Huko Minduli???????????????????????
 
We acha hzo c ndo tumetoka hk, hkna nafs z kuingia jw kupitia usomi wako, kla mtu lazma apitiw jkt miak 2, aende tpdf miez m3/4 ksha elimu ndo imruhs kwnd kusomea nyota miez9, zaid y hap bs hkuna lbd kuhonga il Kuingia tpdf bila jkt
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom