Kujiunga chuo NIT hawajaanza kupokea maombi?

vijora

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
43
Reaction score
30
Habari za muda huu wana jukwaa!!
Nimeangalia website ya chuo cha usafirishaji naona haijaruhusu maombi ya kujiunga na chuo mwak 2018/2019

Ni kweli hawajaruhusu maombi ya kujiunga na chuo kwa upande wa diploma au mm nachanganya madesa..hebu nijuzeni bandugu mana naona muda umepita.

Asanteni.
 
Saiv kinaitwa NUT sio NIT kimepanda hadhi.
Kuhusu suala la maombi sina uhakika.
 
U
Ushauri wangu usiombe wala kukifikiria hicho chuo,
Utaja juta
 
Mbona wanazingua!
Hakina hadhi ya kuwa university
Mara Mia wangeipa hadhi DIT
Sasa Hiyo NIT Na pale Water Institute naona hawachekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…