Kujiuma ulimi usingizini kunasababishwa na nini?

Kujiuma ulimi usingizini kunasababishwa na nini?

vkitina

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2008
Posts
202
Reaction score
159
Habari wadau.

Naomba msaada wenu kujua tatizo ni nini, chanzo chake na matibabu yake. Ndugu yangu amekua na tatizo la kuuma ulimi wake pindi awapo usingizini.

Bahati anauuma kwa meno yote ya pembeni ingetokea kauuma kwa meno ya mbele nadhani ungeweza toboka au katika kwani impact huwa ni kubwa kwa jinsi ulimi unavyovimba.

Pia baada ya tukio huwa anapoteza kumbukumbu kiasi.

Naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom