onesti shirima
Member
- Oct 26, 2015
- 55
- 18
Natafuta shule ya private ya kufundisha somo LA chemistry na biology , kujitolea wao wanipe malazi na chakula tu
Wazo zuri kaka. Hakika huku ndipo tulipofikia. Hatunabudi kuwa na mawazo kama yako mkuu. Nchi za wenzetu kujitolea ni jambo jema na huwa linafikiriwa kwa jicho la tatu ila hapa utaonekana una njaa.Natafuta shule ya private ya kufundisha somo LA chemistry na biology , kujitolea wao wanipe malazi na chakula tu