Mimi ni muhitimu wa shahada ya
BED PSYCHOLOGY, nimekaa tuu
nyumbani sijapata kazi ya part time
hivyo basi kwa mkuu yoyote wa
shule au chuo chochote cha Ualimu
hata education centre iliyoko hapa
Dar au Kibaha napenda niwambie
niko tayari kuja kufundisha kwenye
taasisi yako kwa kujitolea buree ila
utakachonisaidia wewe ni nauli ya to
and from na kula mchana basi.
Nimeamua hivyo baada ya kuona
ujuzi wangu unapotea bila ya
kufanyiwa kazi hasa pedagogy ya
kufundisha nikipata chuo cha ualimu
ni vzr zaidi kwakuwa ndio
specialization yangu ila hata
sekondary nafundisha History.
Kwa mkuu yeyote anayehitaji ani PM
tupeane mawasiliano ili niweze
kuanza haraka maana nimechoka pia kukaa nyumbani.
Asante.
BED PSYCHOLOGY, nimekaa tuu
nyumbani sijapata kazi ya part time
hivyo basi kwa mkuu yoyote wa
shule au chuo chochote cha Ualimu
hata education centre iliyoko hapa
Dar au Kibaha napenda niwambie
niko tayari kuja kufundisha kwenye
taasisi yako kwa kujitolea buree ila
utakachonisaidia wewe ni nauli ya to
and from na kula mchana basi.
Nimeamua hivyo baada ya kuona
ujuzi wangu unapotea bila ya
kufanyiwa kazi hasa pedagogy ya
kufundisha nikipata chuo cha ualimu
ni vzr zaidi kwakuwa ndio
specialization yangu ila hata
sekondary nafundisha History.
Kwa mkuu yeyote anayehitaji ani PM
tupeane mawasiliano ili niweze
kuanza haraka maana nimechoka pia kukaa nyumbani.
Asante.