Kujitoa voda callertune kujitoa

Kujitoa voda callertune kujitoa

Piga 100 sikiliza kwa makin na fuata maelekezo!!
Siyo kila kitu uulze humu!

Mkuu punguza jazba maana nimeshapiga xana hiyo namba cpati responz....Nakuomb upungze majungu pumbf!!
 
Piga 100 sikiliza kwa makin na fuata maelekezo!!
Siyo kila kitu uulze humu!
ACHA UONGO ss tunaibiwa na Vodacom caller tune ww unataka asiulize humu JF aende wapi ?
Siku za nyuma walituambia tutumie 15050 na tuweke Neno ONDOA kwenda Namba hizo
Wewe unatushauri tupige 100 halafu tufuate maelekezo tumepiga na ni utumbo mtupu hakuna hicho kitu kwani huduma hiyo haipatikani

Ni wezi kwanini nasema:
  • Hizo nyimbo sio za kampuni ya Vodacom bali ni za watu Binafsi na hata Waziri kivuli wa Wizara ya Fedha Zitto Z. Kabwe alisema fedha wanazopata hawalipi Kodi wala kuwalipa wenye nyimbo.
  • Wanalazimisha ubonyeze 1 ili uupate wimbo, kwa wasiojua wanafanya hivyo na makato yao ni makubwa
  • Ninajilazimisha kutoweka fedha kwenye Line ya Voda kwani ikiingia tu wanaikata Leo tu nimeweka 1,000/ na sijatumia na nimepata msg yao kuwa wimbo wako wa Vodacom Callertune hauwezi kuwekwa upya kwa kuwa huna salio Ina maana nadaiwa ikiingia tu wanakata
Waziri mdogo wa Mawasiliano alishawaonya na hata Bunge lilishazungumzia haya matangazo na nyimbo zinazopigwa wakati umpigiapo mtu wa upande wa pili unaambiwa matangazo kibao na huenda usimpate umtafutaye
Mwisho namba hii ya 15050 haifanyi kazi hata ukiandika ONDOA

TUNAOMBA WENYE KUJUA WATUSAIDIE TUNAIBIWA
 
Ahsante mkuu,pia wametoa namb mjinga 15577 huyo GOOGLE naomb apige halaf aje hapa aseme nin kipo,na hyo ni namb yao ya kujitoa calltune
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu,pia wametoa namb mjinga 15577 huyo GOOGLE naomb apige halaf aje hapa aseme nin kipo,na hyo ni namb yao ya kujitoa calltune

Mkuu nashukuru nimejiondoa kwa kutumia namba uliyonipa ya 15577 na wamenijibu kuwa wameondoa
sasa kesho wakikata tena mm kitawaka ni hadi kwa January Makamba Waziri wa Mawasiliano wa JMT
Hiyo Namba ya 100 hadi sasa haipatikani na sijui kwa nii watu wanakuwa mahayawani kutupatia vitu vya uongo km hawewezi kuchangia si bora uipite hiyo thread?
 
Wakuu nisaidieni jamani nijiondoe kwenye tigo nimehangaika sana kuiondoa caller tune nimeshindwa,inanikera kupita maelezo,plzzzzz!
 
Mkuu nashukuru nimejiondoa kwa kutumia namba uliyonipa ya 15577 na wamenijibu kuwa wameondoa
sasa kesho wakikata tena mm kitawaka ni hadi kwa January Makamba Waziri wa Mawasiliano wa JMT
Hiyo Namba ya 100 hadi sasa haipatikani na sijui kwa nii watu wanakuwa mahayawani kutupatia vitu vya uongo km hawewezi kuchangia si bora uipite hiyo thread?

Mkuu nisaidie umejiondoaje kwani mimi nikipiga hii number napata maelekezo ya kuchagua aina ya nyimbo mfano gospel,bongo fleva n.k hawatoi option ya kujiondoa hebu nisaidie Ndg
 
Tuma kwa njia ya msg kwa kuandika neno ONDOA kwenda 15577

utapata maelekezo kuwa sasa watakuondoa na baada ya km dk 5 watakutumia tena kuwa wameshakutoa
Halafu tuwaone tena kesho km watakuwa wametuingiza huko Calllertune
 
Nashukuru mkuu ngoja nikomae nao hii kitu ilinifanya niwe naweka salio kidogo tu na kuliongea muda huohuo maana nikikaa na salio wanapita nalo bila hata taarifa,na wala sijui nilijiungaje nilishtukia wameshaniunganisha.
 
Back
Top Bottom