chororingo
Senior Member
- Jan 15, 2008
- 104
- 92
Jamani naombeni msaada. nataka kujitoa kwenye SMS kutoka SIMBA SPORT CLUB kutoka namba 15556. Naona sasa wanafanya mchezo kwani wananitumia SMS fupi fupi ambazo zinaweza kuwa moja. Naona kama wananiibia. NISAIDIENI JAMANI.