heshima mbele,
jaman nimejiuliza swali leo je kama nikitaka kujitoa Jamii Forum nafanyeje??au ndo ukishajiunga imetoka hiyo
Mtusi Paw
kumbe inasababisha hasira ee! mi sikujua
heshima mbele,
jaman nimejiuliza swali leo je kama nikitaka kujitoa Jamii Forum nafanyeje??au ndo ukishajiunga imetoka hiyo
niite tu mi sichagui mbuga haya; myama sawa, mlima kwetu, mkonga penyewe kasoro 'journer' maana maderva hawaelewekiHahahahaha Ankal bana..... umepotea sana mjomba. Hizi bia ntazimaliza peke yangu kweli?
kumbe inasababisha hasira ee! mi sikujua