inakua na psychological relief nadhani. haina tofauti na 'kutangaza' humu jf kama umekua cheated au hata kuachana na mwenza wako. tofauti maybe ni kuwa fb marafiki ni watu ambao unawajua in person kuliko wa jf. hapa jf utasema 'rafiki yangu blah blah' wakati jf swaga hizo hazifai, kwi kwi kwi
Wanatuchosha kutujulisha mambo yao binafsi na kutuomba ushauri wakati kukiwa na migogoro, utadhani sisi wanajamvi tulishiriki kuwashauri watongozane na wakubaliane. Upuuuuuuzi!!
NI ujinga sana kuweka mambo ya mwenzawako hadharani, ni ujinga wa aina yake, kama yamekushinda siuachane nae kwa amani kuliko kupiga tarumbeta kwanye mitandao ya kijamii, kwakweli inakera sana....