Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,424
- 7,053
Ndo maana wewe ulijitambua mapema hadi ukawa jobless billionaireNi kujitambua
Wewe ulichelewa. Walikuja baba watakatifu 90 wewe ukawa Baba mtakatifu91Ndo maana wewe ulijitambua mapema hadi ukawa jobless billionaire
HaaaaaaaaaaahWewe ulichelewa. Walikuja baba watakatifu 90 wewe ukawa Baba mtakatifu91
Hii ilibidi iwekwe kwenye mabango nchi nzima kwa mwaka mmojaKujitambua ni kujua kusudi lako wewe hapa duniani na kutambua ukweli wa maisha kadiri ya wewe utakavyodefine ukweli wa maisha ni upi,halafu kusimamia huo ukweli wako imani yako mpaka kufa.
baada ya kizaliwa kinachofuata ni kufa ,ni kujua utakufa ukiwa unasimamia ukweli upi kisudi lipi la maisha yako,na utaishi kulingana na imani yako na misimamo yako.
NITOE MIFANO MICHACHE YA WATU WANAOJITAMBUA.
YESU KRISTO..aliishi kusudi lake na imani yake mpaka kifo chake na alijia toka mwanzo kusudi lake na akaishi kadiri ya imani yake na kisudi lake mpaka kifo.
TINDU LISU
Anajua kusudi la maisha yake na anasimamia imani yake isiyoyumbishwa katika hali zote iwe mchana iwe usiku iwe mvua iwe jua..
MITUME NA MANABII
Wafia dini
CHE GUEVARA
PATRICE LUMUMBA
SAMORA MACHELE
NELSON MANDELA
EDWARD MORINGE SOKOINE
NYERERE JULIUS KAMBARAGE
MDUDE NYANGALI
HAMPHREY POLEPOLE
hawa ndio baadhi ya watu waliojitambua
halafu kuna watu wanajiita chawa..hawa wameshakufa na kuoza..wanaishi maisha mfu siku zote ,bendera fuata upepo,wameuza utu wao..wamesaliti imani yao na imani ya watu waliowaini..
A sinner's aspire for holiness come to save meKujitambua ni kujua kusudi lako wewe hapa duniani na kutambua ukweli wa maisha kadiri ya wewe utakavyodefine ukweli wa maisha ni upi,halafu kusimamia huo ukweli wako imani yako mpaka kufa.
baada ya kizaliwa kinachofuata ni kufa ,ni kujua utakufa ukiwa unasimamia ukweli upi kisudi lipi la maisha yako,na utaishi kulingana na imani yako na misimamo yako.
NITOE MIFANO MICHACHE YA WATU WANAOJITAMBUA.
YESU KRISTO..aliishi kusudi lake na imani yake mpaka kifo chake na alijia toka mwanzo kusudi lake na akaishi kadiri ya imani yake na kisudi lake mpaka kifo.
TINDU LISU
Anajua kusudi la maisha yake na anasimamia imani yake isiyoyumbishwa katika hali zote iwe mchana iwe usiku iwe mvua iwe jua..
MITUME NA MANABII
Wafia dini
CHE GUEVARA
PATRICE LUMUMBA
SAMORA MACHELE
NELSON MANDELA
EDWARD MORINGE SOKOINE
NYERERE JULIUS KAMBARAGE
MDUDE NYANGALI
HAMPHREY POLEPOLE
hawa ndio baadhi ya watu waliojitambua
halafu kuna watu wanajiita chawa..hawa wameshakufa na kuoza..wanaishi maisha mfu siku zote ,bendera fuata upepo,wameuza utu wao..wamesaliti imani yao na imani ya watu waliowaini..
mbona zile reply za sizioniKwahiyo min kapigwa ban