KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,671
- 89,541
Kujitambua kwa wakati ni kujielewa nini ufanye ktk wakati na mazingira stahiki.
Wengine wamekuwa wakifanya vitu bila ya kujitambua kama hicho akifanyacho ni ktk wakati sahihi na mazingira sahihi...
kusudi nalotaka kuzungumzia hapa ni ule utambuzi kwa wakati sahihi,kuna watu wanakuwa ktk mazingira ambayo yamemzidi utambuzi! hivyo hupelekea kufeli ama kupoteza muelekeo na kuwa mtu wa kulaumiwa kama mtu aliefeli lkn kumbe hakufeli alikuwa hana utambuzi wa anachokitenda ktk mazingira aliyopo.
sio kila mwanafunzi anafeli kwa uzembe wake wengine wanakuwa nyuma ya utambuzi kwa mazingira aliyopo ndio maana wengine baada ya kupita muda fulani eg:mwaka akaja akarudia darasa lilelile alilofeli leo hii kama atakuwepo ktk utambuzi stahiki anaweza akapata max ambazo zitakuacha mdomo wazi!
kuna wengine hali hii imewaharibia maisha kwa kuwa ameshindwa mara moja basi ndo nipotezee lkn kumbe angejaribu mara ya 2 angekuwa ktk stage nzuri.
Lazima watu wajue kufanya mambo stahiki ktk uelewa stahiki na ktk mazingira stahiki.