Kujishusha sio Ujinga. Badilika !!!!

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,702
Salaam Wakuu,

Sometimes unakaa kwa Relation na mtu si kwa sababu hana matatizo, au yeye ndo best kuliko wote,ni kwa sababu tu matatizo mnayopitia leo mmeyazoea na kila yanapotokea mmeshajua jinsi ya kuyatatua.Kumkimbia mtu coz anakuboa ni sawa na kuhama gereza la Ukonga na kukimbilia gereza la Segerea ukidhani wenzako wanakula Pilau kule,utashangaa ukifika ni mwendo wa dona na si ajabu Dona ya Segerea haiivi vizuri kama unakotoka...Love ur partner, kuwa msikivu pale anapokushauri, Omba msamaha ukimkosea na sio kujifanya we kidume/ nunda hukosei hata pale umebofoa unaona kuomba msamaha ni tabia ya kike,si kweli !! Jifunzeni kusolve matatizo in 24hrs circle,msikubali mgombane mlale mmenuniana, SOLVE IT on the spot.

OVER !!!
 

Wa ukweee umesikia hiyooo😛
 
It depends though na type ya mwanamke mwenyewe, wengine kadri ushukavyo ndivyo apandavyo na that's really sucks
 
  • ​Yap, Hili nalo neno. Noted
 
Ushauri mzuri, maana mahusiano yanahitaji uvumilivu wa kutosha, wale tunao waona wametimiza miaka sijui 10,15,20,25 au 30 au 50 sio kufumba na kufumbua wamesota vaya kutosha ....
 
Kujishusha ni tabia ambayo inakusaidia kuishi kwa amani mahali popote. Inakusaidia kuishi na ndugu zako na hata ndugu za mwenza wako kama unaye. Cha muhimu ni kuchora mstari kuwa hapa hapatavukwa. Mambo ya kupigwa afu ujishushe. Ama emotional abuse afu unajishusha. Hiyo haikubaliki.
 
It depends though na type ya mwanamke mwenyewe, wengine kadri ushukavyo ndivyo apandavyo na that's really sucks

Dats true man, unakuta unajishusha kumheshimu yeye na mahusiano yenu. Lakn ye anakuona boya. Wanawake wengine wanatabia ya kuwa peleka peleka wapenz wao simply cz niwa taratibu wakifkiri ni akili. Its time watu tujifunze kuheshimiana.
 
MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA!!!!!!!!!!! Kama mtu hafai leo, wala usijidanganye kesho atakufaa, HUYO HAFAI TU!
 

You nailed it. Real talk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…