kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,880
ooooooooooh huyo wa kufata wanaume misibani sie kabisa..
acha kukariri maisha mkuu,,hata hao wa makanisani na wenyewe vimeo tu
ooooooooooh huyo wa kufata wanaume misibani sie kabisa..
Teh,,,haya mkuu NIMENIDHAMIKA............Oyaaa dogo uwe na nidhamu, TIMING ni member mkongwe anayeheshimika sana hapa JF. Bahati mbaya zaidi ni agemate wangu..
Be warned!
Mke wa shemeji yako?
huyo mwanamke hana haya anapenda kuzowea watu na hakusema kama siri mie na yeye walikua watu kama 6 na wengine hata hawajui wanatoka mwanza..kinachonipa wasi wasi ni hiyo confedence ya kukuambia hayo aliipata wapi? manake kama mtu hujamzoea si rahisi kumwambia hilo
Apana alofariki ndio mke wa shemeji yangu,huyu mwanamke watoto wa kaka yake ndio wanasoma school moja na watoto wa shemeji yangu sasa watoto wale wa shemeji yangu wakija kwangu holiday wanakutana na watoto wa kaka yake huyo mwanamke ndio sababu yakumjua hatuna mazowea mie na yeye zaidi ya salam..sasa sijui ndio kataka kunizowea kwa style hiyo yakusema anatafuta vichwa..Mke mwenzake
Nisawa kama unaona amefanya sawa..sasa wewe mwenyewe umesema msiba haumuhusu sasa ulitaka ajidai kulia kumbe full maigizo...wach bwan apate bwana...nice way to celebrate a life taken. na msifa akishapewa uji kuna story gani tena msibani zaidi ya umebea tuu.