Kujishaua mbele za wanaume misibani..

Kujishaua mbele za wanaume misibani..

Na wengi mno ndo zao hizo
haswaa misiba ya watu maarufu
wengine husafiri kwa ajili hiyo....
 
Mwambie asisumbuke kiasi hicho awe member tu waJF kuna raia wana njaa balaa.
 
nadhani na ss wanaume tumekuwa rahisi sana kupatikana ndiyo maana, yy anajuwa soko lipo ndio maana anafanya vile....ni sawa sawa na kuwaona mashoga mi watu wa ajabu ..wakati wanachukuwaliwa na wamaume na akili zao...kusingekuwa na wateja na wao wasingekuwepo......watamuuzia nani:::............ CHUKUA ATUA SASA............

Pamoja na urahisi ila anapata watu ambao si perfect match, anakutana na hit and run na ndio maana kila siku anahangaika. Anaamini mahusiano yanajengwa na ngono kumbe ni zaidi ya hapo na ndio maana kila siku watu wanachukuliwa na wanaume na bado wanaachika (kuna kitu cha ziada zaidi ya ngono)
 
ni shogha ako! mi nadhani mna tabia za kufanana la sivyo asingekuwa na confidence ya kukueleza huo upuuzi wake, ila nadhani alikukera kwasababu pale palikuwa msibani na wewe ukataka ufiche makucha..
 
Mbona hata vyama hujinadi jaman? Mmmm. Tuambizane. Aliekuja kufanya ile mnaita kataring cjui catarini nae je?
 
huyo alipata supplementary enzi za ubinti kwa hiyo sahizi ndo anairudia si bure.
 
Kwani bongo movie huwa hamuwaoni na yale mamiwani yao makubwa kama microscope kwenye misiba
 
Hivi shemeji yako ana wake wangapi?

Hata hivyo huyo rafiki yako kwa nini ajifunzi tabia nzuri kama zako? Labda si rafiki yako wa karibu.

Habari za hasubuhi waungwana,

Jana nilienda msibani huko magondo poromoka, nikiwa na shogha yangu cha ajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kuna nini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaume wengi hupatikana msibani, lazima nipate kichwa hapa. Nilishangaa nikajiuliza hivi inakuwaje mtu unakwenda msibani halafu akili yako inafikiri mambo machafu.

Kwakweli alinikera na sikurudi nae tuliachana hapo na yy. Msiba haumuhusu ni mke wa shemeji yangu. Hivi wangwana wako watu wanaofanya haya mambo au ni huyu mdada peke yake? Manake sijawahi kuona kiumbe mwenye visa kama hivi...
 
Hakuna kitu kigumu kuficha kama tabia!
huo ndio mpngo mzima wa mujiniiii!!jana nilihudhuria misiba miwili kulikuwa na dada mja mithili hiyo hiyo anajichekesha amevaa sidiria tu na vimikanda vya maji vinaonekana yeye hatulii nikupita pita akaenda kusimama kule kwa wanaume mara akimbie pembeni akicheka huku akipikea simu sikuelew ila nilichukia sana maana nilikuwa na huzuni sana tulikuwa tunazika mtu mzima na mtoto wa miezi 4.kwa upande wangu naona ndio mishe zenyewe ndugu ,angalia wanawake wa siku hizi wanavyojikoki kwenye misiba anaulamba wala hafuniki kichwa tena lol.nahisi ndio mpango wa mujini ndugu lol mkuu promiseme
 
Last edited by a moderator:
Biashara matangazo na TIMING.......................

Oyaaa dogo uwe na nidhamu, TIMING ni member mkongwe anayeheshimika sana hapa JF. Bahati mbaya zaidi ni agemate wangu..

Be warned!
 
Last edited by a moderator:
Afu mwanamke aanze kuniletea pozi wakati tunatafutwa hadi misibani.
 
Hivi shemeji yako ana wake wangapi?

Hata hivyo huyo rafiki yako kwa nini ajifunzi tabia nzuri kama zako? Labda si rafiki yako wa karibu.
shemeji yangu anamke mmoja,huyu mwanamke sio shogangu nijirani lakini hatuna mazowea ila watoto wa shemeji yangu wanasoma na watoto wa kaka yake huyo mwanamke na wala sina mazowea nae hayooo yani hoyo ndio ilikua safari ya mwanzo kuwanae msibani na ndio imekua ya mwisho..
 
ni shogha ako! mi nadhani mna tabia za kufanana la sivyo asingekuwa na confidence ya kukueleza huo upuuzi wake, ila nadhani alikukera kwasababu pale palikuwa msibani na wewe ukataka ufiche makucha..
Jamani sishoganguuu eeeeeeeeeeeeh! na hata kama angekua basi kwa alichokifanya sicho na sijapenda,unapokuta watu wana msiba nawewe unakumbuka wako ndio unajua vipi wenzio wanaumia kama ulivyokua unaumia wewe,sio kujihashua,
mara cm,mara umfate huyu shemeji umeadimika inahusu nini...?
 
shemeji yangu anamke mmoja,huyu mwanamke sio shogangu nijirani lakini hatuna mazowea ila watoto wa shemeji yangu wanasoma na watoto wa kaka yake huyo mwanamke na wala sina mazowea nae hayooo yani hoyo ndio ilikua safari ya mwanzo kuwanae msibani na ndio imekua ya mwisho..
kinachonipa wasi wasi ni hiyo confedence ya kukuambia hayo aliipata wapi? manake kama mtu hujamzoea si rahisi kumwambia hilo
 
Back
Top Bottom