Kujishaua mbele za wanaume misibani..

Kujishaua mbele za wanaume misibani..

Hayo ya blue yote "Tawire"

Waswahili wanasema 'msiba una wenyewe'

Wasio wenyewe waache wafanye wanayofanya

Ndo umejua leo msibani ndo penyewe kwa kusaka mabwana? Hushangai watu wanaupara sana siku hizi? Tena unakuta mtu anaenda kabisa kuset ama kusuka za msibani, mihereni mikubwaa.

Biashara matangazo bibie, weka embe zako chumbani zikuozee

Afu uache kusema kutafuta 'bwana' ni mawazo machafu, bila kupata bwana mwanamke ataolewa na nani???

Habari za hasubuhi waungwana,

Jana nilienda msibani huko magondo poromoka,nikiwa na shohangu chaajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kunanini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaumewengi hupatikana msibani, lazima nipate kichwa hapa,nilishangaa nikajiuliza ivi inakuwaje mtu unakwenda msibani halafu akili yako inafikiri mambo machafu.

kwakweli alinikera na sikurudi nae tuliachana hapo na yy msiba haumuhusu nimke wa shemeji yangu. ivi wanguwana wako watu wanao fanya haya mambo au ni huyu mdada peke yake manake sijawahi kuona kiumbe mwenye visa kama hivi...
 
Kile kiapo cha ndoa huwa ni kirahisi sana kuapa au ni kigumu sana kueleweka au ni kirahisi sana kusahaulika? Ni kwamba tamaa za miili yetu tumezipa kipaumbele kuliko hata uthamani wetu na future yetu? Au tunaishi tu ilimradi kukuche kesho? kwamba ukifa leo na ukifa after 30 years haina tofauti kwako???? Mwambie shemejio ajiheshimu na aiheshimu ndoa yake. Mwili huwa haushibi kamwe.

Ukiusoma uzi yule ni yule mdada mpenda wanaume ni rafiki yake alimsindikiza mleta uzi na sio wana mahusiano wa ushemeji (mwenye uhusiano na msiba ni huyu alieleta uzi ambapo alifiwa na jamaa yake ambae ni mke wa shemeji yake na mleta uzi)
 
kweli mnawindwa lakini kwa kitukoo kile bora kukosa, sababu akimalizana na wewe mwenzio atachukua..

Sasa unadhani mwanamke wa aina hii si wa kuweka makazi,one night stand inatosha!
 
ni rafiki wako wa kufikia au?? manake kama ni rafiki wa ukweli ungekuwa unajua tabia zake...
sio rafiki yangu wakaribu sana na sina mazowea nae hivyo sema shemeji watoto wa shemeji yangu wanasoma na watoto wa kaka yake huyo msichana na hao watoto wa shemeji yangu likizo wanakua nyumbani kwangu na yeye huyo mama ni salama tuu yakawaida..
 
Hayo ya blue yote "Tawire"

Waswahili wanasema 'msiba una wenyewe'

Wasio wenyewe waache wafanye wanayofanya

Ndo umejua leo msibani ndo penyewe kwa kusaka mabwana? Hushangai watu wanaupara sana siku hizi? Tena unakuta mtu anaenda kabisa kuset ama kusuka za msibani, mihereni mikubwaa.

Biashara matangazo bibie, weka embe zako chumbani zikuozee

Afu uache kusema kutafuta 'bwana' ni mawazo machafu, bila kupata bwana mwanamke ataolewa na nani???
Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..
 
kweli mnawindwa lakini kwa kitukoo kile bora kukosa, sababu akimalizana na wewe mwenzio atachukua..

Anaona jua limezama na huenda enzi zake umri ulipokuwa unadai alikuwa na nyodo kwa wanaume kiasi kwamba salaam ilikuwa shida kutoa au kuitikia, mwisho wa siku wapiganaji wanajiweka pembeni inafika time na yeye anataka mtu permanent anajichanganya kwa wanaume na wao wanaaanza kumshangaa mbona zamani hakuwa hivi leo anachangamka (inahitaji saikolojia hali ya juu ku-deal na mwanaume wakati mwingine pamoja na kwamba wanachukuliwa ni viumbe dhaifu ila wakati mwingine huwa wanajua kuwa-ignore wanawake hasa wa aina hiyo maana wanaume wengi wanapenda mwanamke hata kama humtaki basi hata salaam uitikie na kipengele kimojawapo cha kumsoma mtu)
 
Duuuuuuu!!!!!!! hii kali yaani yeye mpango mzima kusaka vichwa?
 
Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..

Usijisumbue dada,kila mtu anautafsiri msiba ajuavyo.
Hiyo ni tafsiri ya shoga yako,wala hadhani kama amekosea!
 
Vp nyuma kaumbika? Yaani Mungu kampendelea?
 
Kweli nchi yetu inahitaji sana elimu, huu ni ukosefu wa kazi na akili ya kufikiria vitu maana. How low can we go?
 
Ndio maana nikakuambia 'Msiba una wenyewe'

Ukiona unaumia na huwa hata wazo la kujipodoa jua huo msiba wako

Ila ukienda msibani macho juu juu, jua si wako huo msiba

Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..
 
Habari za hasubuhi waungwana,

Jana nilienda msibani huko magondo poromoka,nikiwa na shohangu chaajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kunanini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaumewengi hupatikana msibani, lazima nipate kichwa hapa,nilishangaa nikajiuliza ivi inakuwaje mtu unakwenda msibani halafu akili yako inafikiri mambo machafu.

kwakweli alinikera na sikurudi nae tuliachana hapo na yy msiba haumuhusu nimke wa shemeji yangu. ivi wanguwana wako watu wanao fanya haya mambo au ni huyu mdada peke yake manake sijawahi kuona kiumbe mwenye visa kama hivi...

Hivi hadi leo hujagundua kwamba vile viwanja maarufu vya kujiuzia Machangu vimejaa na hivyo ukitumia sheria ya biashara Mali ikiwa nyingi sokoni?..................."Tafakari chukua hatua huna rafiki hapo"
 
Asante sana mkuu, nimekupata.
Ukiusoma uzi yule ni yule mdada mpenda wanaume ni rafiki yake alimsindikiza mleta uzi na sio wana mahusiano wa ushemeji (mwenye uhusiano na msiba ni huyu alieleta uzi ambapo alifiwa na jamaa yake ambae ni mke wa shemeji yake na mleta uzi)
 
Kwel nimeamin 2po wachache, 2nawindwa mpaka misiban!? Ila mshaur apunguze urafi, shemej yako yupo, bado anataka kuongeza mwingne!? Au anaumwa!? NB. Ukiona wa2 ni marafik ujue wamefanana tabia zao, wee umefananae tabia ipi!?
 
nadhani na ss wanaume tumekuwa rahisi sana kupatikana ndiyo maana, yy anajuwa soko lipo ndio maana anafanya vile....ni sawa sawa na kuwaona mashoga mi watu wa ajabu ..wakati wanachukuwaliwa na wamaume na akili zao...kusingekuwa na wateja na wao wasingekuwepo......watamuuzia nani:::............ CHUKUA ATUA SASA............
 
Back
Top Bottom