hahahahaa aibu ya nini sasa na wakati nyie ni mwili mmoja
mpaka mazoea asee,kama hujazoea huwezi.hahahahaa aibu ya nini sasa na wakati nyie ni mwili mmoja
hua wewe unashusha mzigo kwa raha?
mpaka mazoea asee,kama hujazoea huwezi.
Anza na mazoezi ya kujamba mbele yake baadaye utazoea hata kukata gogo bila wasiwasi
Anza na mazoezi ya kujamba mbele yake baadaye utazoea hata kukata gogo bila wasiwasi
ila wanawake wengine kweli kauzu.yupo mmoja nakaa nae hapa wala sina mahusiano nae,basi choo ya wote kimepasuka pipe,hakitumiki,kinatumika cha chumbani ambako ndo napiga mboji.na amzoee sasa atamwogopa hadi lini
ila wanawake wengine kweli kauzu.yupo mmoja nakaa nae hapa wala sina mahusiano nae,basi choo ya wote kimepasuka pipe,hakitumiki,kinatumika cha chumbani ambako ndo napiga mboji.
Akibanwa utastukia ameingia room hadi toilet kisha tra ta ta pratatata buuu,wakati anajua nipo mle room nasikia,halafu akimaliza anatoka uso mkavu,nakua namshangaa tu,nishamuona wakawaida hata kumtamani siwezi.

mbaya zaidi hata tv naangalia ya room huku nimejiegemeza ukutani nikiwa kwa bed so mda mwingi nakuwemo hasa jioni,lakini hata kujisaidia kisailensa ?Kumbe ndo wewe jirani....sasa ulitaka niwe najibana au nasubiri utoke?
mimi tenaaa na gogo likiwa gumu halitoki namwita anipigepige mgongoni