Kujirembua kupita kiasi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Apa amna ubishi. Hao masupastaa wanaojifanya wanajua kujirembua apa mjini hawawezi kukaribia hii dizaini!

560587_4685831502667_214325911_n.jpg
 
mmmmh.. huyu mama inabidi awe anaenda kuchoma ile kitu ya tetanus kwa mpango maana akiskip tu amekufa..! manake kavaa silaha uko juu..! kweli kukosa hela na kutafuta fitting other options mzee unaweza kupaka mavi ya n'gombe unajua...!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom